Recent content by j.nyimata

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tujaribu kuendesha nchi na Waziri mmoja kwa miaka mitano tuone itakuwaje

    Mi naona ateuwe mawaziri ila wawe na mikataba ya miezi 6. kama hawezi atakua amefail under probation
  2. J

    JamiiForums Tanzania Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    Acha ujinga wako. kamwage mwenyewe
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwa namna hii Mabadiliko Tanzania ni ndoto

    acha hizo ifike mda tuangalie tumekosea wapi hadi kushindwa namna hii. isiwe kila kitu tumeibiwa. wenzetu walitumia mwanya wa makosa yetu.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Muongo wewe Mbona niko Kigoma sioni hayo macho na masikio unayosema yako arusha?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Chadema naona walikurupuka kuunda huu UKAWA sasa unawagharim, maana CHADEMA walikua wanajitosheleza kupambana na CCM. sasa wakati ulikua ndio huu, endapo ccm watashinda itakua ccm daima.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli apigilia msumari kwenye jeneza la CCM

    hakuna kitu nyie mungekua na busala mungenyamaza. ila kwakua akili zenu sawa na za ng'ombe endeleeni na upuuz wenu. na bado mtachoka lowasa lowasa byeeee.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa aandaa waraka kumchanachana Kikwete kesho (Julai 20, 2015), kutimkia ng'ambo...

    mfa maji tuu. tutaendelea kukata tu. na hata huko atakapoenda tutamka tu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    wao wahame tu. inaonesha walivyowanafiki. inamaana kama lowasa angeshinda hapo ccm ingekua nzuri. Tunawajua sana nyie mlisha tafuta urais kwa kila mbinu mnafeli. hii ndio tanzania organised body. kaeni mtulie endelezeni biashara zenu tu, urais sahauni ng'o.
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2015 Apson Mwang'onda afanya vikao vya kuchangisha fedha Oysterbay ili Lowasa ahamie CHADEMA

    wewe. nahisi umezaliwa miaka ya 90. hujui ufisadi wa lowasa. hata habari ya richmond tu pekee. hajawahi hata siku moja kujitokeza na akakanusha. ENDELEA TU BOS NA SAFARII YA MATUMAINI. SISI TUNAENDELEA NA SAFARI YA KUELEKEA IKULU.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

    duh ama kweli maarifa yameongezeka
  11. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa special thread

    Mteule ni nani?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Wafahamu walinzi wa Papa huko Vatican

    Sio kweli. Uliza tukuelekeze jinsi utawala wa vatican unavyoongoza. kwa ufupi ni kwamba askofu wote wanaripoti kwa Papa. askofu mkuu au kadinali hana mamlaka yoyote kisheria kuadhibu au kutoa mamuuzi ya papo kwa papo kwa askofu wa jimbo dogo. isipokua yeye atatoa ushauri kwa barozi wa papa au...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Edward Lowassa ni muongo, fisadi na alituiba pesa kupitia Richmond

    Hivi kweli tuchague mtu kwanza mgonjwa ambavyo watu wazima wapo... pili kashifa kibao na watu wasio na kashfa wapo..... tatu mtu anaeamini yeye ndio alpha na omega kwamba hashindwi katika uchaguzi huku alishashindwa mara kiabao kwenye hiohio nafasi..... Pia anadanganya watu kuwa hapendi...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makongoro Nyerere: Edward Lowassa ni muongo, fisadi na alituiba pesa kupitia Richmond

    Kaka Riport unayoisema ya richmond Mbona tuliisoma hayo yalikua wapi kuelezwa? Leo hii ndio mnasafisha mtu. Na kama ilikua dili ikashitukiwa jiulize kwa akili yako uliyonayo. Atakua Amepiga dili ngapi ambazo hazikushitukiwa?. Mimi Hiyo riport na sakata wala sisimuliwi I know it. mambo mengine...
Back
Top Bottom