Recent content by J.Mfumakule

  1. J.Mfumakule

    INAUZWA HONDA ACE 125,INDIVIDUAL TZS 2,100,000

    Umeshauza au bado? Mahitaji.
  2. J.Mfumakule

    Nauza NOKIA : E72, E71, E63, N86, C1, C5 & ASHA 302

    Nataka E72 nipe mawasiliano
  3. J.Mfumakule

    Nauza NOKIA : E72, E71, E63, N86, C1, C5 & ASHA 302

    NAWEZA PATA NOKIA E72 AU NOKIA C5 MKUU
  4. J.Mfumakule

    Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

    Uzuri wa Halotel ni kwamba sehemu zote zina 3G
  5. J.Mfumakule

    Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

    Wamechimbia waya chini ya ardhi nchi nzima toka mwaka 2010 walikuwa wanasambaza nyaya. Kwasasa wamesambaza kona zote za nchi. Na wanaminara michache tu. Hule waya wanaochimbia unauwezo wa kusambaza mawasiliano kwa km zaidi ya 100 toka ulipo.
  6. J.Mfumakule

    Nape azomewa, Kinana amshusha jukwaani

    Tatizo huwa wanapeana uongozi kiundugu na fadhira lakini kiukweli Nape hana uwezo wa kupambanua vitu kwa busara na kutumia akili za ziada. Ni mkurupukaji na mropokaji. Siasa inahitaji fikra pevu, bado kabisa huyo na mara nyingi huwa ni mpiga kelele tu majukwaani.
Back
Top Bottom