Recent content by J. Mangu

  1. J

    Aliyoyasema Rais Kagame kuhusu Rais Magufuli

    The speech is good ....." what happened here 22 years ago will never happen again"... Wamwombe Mungu yasitoke tena.Na pia waangalie sana sababu zilizochangia machafuko ya mwaka 1994. Na wakemee kwa nguvu zote kila wanapoona dalili zinataka kujirudia. Ubaguzi wowote na ukabila unapaswa...
  2. J

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    Hapana, ilianza Julai, 1992 kwa A-Level ambapo yeye alikuwa Form Six term ya 1. January 1993 ilianza intake ya O'Level. Ila nakumbuka alifaulu vizuri sana mtihani wa Form 6. Kwa swala la Urais, mimi sidhani kama ni jambo baya mtu kujaribu.Anaweza kupata kwa miaka mingine ijayo. Hata J. Kikwete...
  3. J

    Mambo mawili ya Msingi kwa Watanzania kufanya ili kumpata Rais sahihi

    Watanzania,kama tujuavyo huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu. Ili kuwapata viongozi sahihi bila kujali imani zetu wala itikadi za vyama vyetu kuna mambo mawili ya msingi ambayo tunahitaji kuyafanya. 1: Tumwombe Mungu atuonyeshe yule aliyemchagua kati ya wale wote watakaogombea hizo nafasi.(Tunahitaji...
  4. J

    Kanisa la Segerea latupiwa 'bomu' la mafuta, laungua; KKKT Kijitonyama kwaibuka hofu!

    Tumwombe Mungu ili nchi yetu iendelee kuwa na amani.Ninasema tumwombe Mungu atusaidie maana ni msaada pekee uliopo. Serikali walishakiri Bungeni kwamba walishachoka. Hiyo ni kauli ya kukata tamaa na tusitegemee lolote.
  5. J

    Mh. Dr. Mwakyembe ushauri huu muhimu

    He knows for sure that the entire goverment system is not supportive on what he is doing, but still he has stepped forward to try his lucky. Like David against Goliath he has emerged and dared to fight against these evil and wicked people who enrich themselves on the risk of other peoples...
  6. J

    Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

    Kila mtu anauhuru wa kusema na kutoa maoni yake lakini sio lazima watu wengine wakubaliane na hayo maoni au mitazamo ya namna hiyo.
  7. J

    Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

    Kila mtu anauhuru wa kusema na kutoa maoni yake lakini sio lazima watu wengine wakubaliane na hayo maoni au mitazamo ya namna hiyo.
  8. J

    Watuhumiwa wa Ugaidi wa CHADEMA watoka wasimulia walivyolazimishwa kusema

    Mtu mmoja aliniambia maradaka ni kama Nyama kwenye mdomo wa mbwa au samaki kwenye mdomo wa paka.Ukijaribu kumnyang'anya basi uwe tayari kung'atwa au kuparuliwa.
  9. J

    Udsm yageuka danguro wakuu

    Oh! You guys be careful.Never, never play with sexual immorality,for you will never go unpunished. " But a man who commits adultery lacks judgement, whoever does so destroys himself "(Prov. 6:32).At the end of your life you will groan, when your flesh and body are spent. You will say "How I...
  10. J

    Wanafunzi Ilboru waendelea kugoma

    Oh! Poleni wanafunzi. Hii inanikumbusha wakati nikiwa mwanafunzi Ilboru,tuligoma kula maana chakula hakikuwa na chumvi, na maharagwe yalikuwa na wadudu. Headmaster Mtui akasema kama hatuli tuishie majumbani kwetu. Wanafunzi walikasirika wakaenda nyumbani kwa headmaster na kuiponda gari yake kwa...
  11. J

    Mwandilishi wa Channel Ten, Eliah Ruzika, amepigwa na askari wa jeshi la Polisi

    Hali ya ukatili na uonevu unaofanywa na Jeshi letu la polisi kwa raia ni hatari sana, na huenda ikawa ni sababu moja ya kutoweka kwa amani na utulivu wa Taifa letu.
  12. J

    Freeman Mbowe aripoti tena Polisi (Makao Makuu); Ashikilia Msimamo Kutowapa Ushahidi

    Mpaka lini polisi wataendelea kutumia vitisho na ukandamizaji kwa manufaa ya wanasiasa? Wangetumia nguvu zao kubwa kuwasaka walipua bomu na kuwafikisha mbele ya sheria ingekuwa ni jambo la maana kwa watanzania.
Back
Top Bottom