Recent content by J KING

  1. J KING

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    Baobao mkuu upo sahihi!! yaani miaka 50 umeme magumashi!! ndio laana hiyo!!
  2. J KING

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    kumpa magufuri kura yangu ni kuendelea kuukubali umaskini na ulofa! hapa ni lowasa tuu!!
  3. J KING

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    hii cccmm ina laana ya umaskini. Miaka 50 duuu!! umri wa mtu mzima lakini baado wanaahidi kutokomeza umaskini! kuwaamini ni ujuha usiovumilika!!
  4. J KING

    Unalalamika maisha magumu, huduma mbovu halafu unashibikia CCM, hii si laana

    huo ndio ujinga wa wengi . Mtu makini hawezi shabikia ccccm kwa hali hii tulionayo
  5. J KING

    Njombe: Mgombea wa CCM atishia kujitoa, ni baada ya kutelekezwa na chama

    Ninapenda asijitoe maana ushindi wa mezani haunogi
  6. J KING

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Haya yote yamekuja baada ya kumzima Slaa!
  7. J KING

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Sana hawa viongozi wa dini njaa ndio waliotufikisha hapa. Gwajima ana ujasiri na sasa wanamhofia imekula kwao.
  8. J KING

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Gwajima kiboko yao! Tunawahitaji wachungaji kama yeye wenye kusema bila woga sio wachungaji uchwara waliotufikisha hapa tulipo kwa dhambi ya ufisadi na huku wao wapo kimyaaa! Viva Gwajima songa mbele mpaka kieleweke.
  9. J KING

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    hiyo siyo hoja ya msingi ya kunifanya nisimpigie Lowasa. Watu waache hoja nyepesi nyepesi kura yangu ni kwa LOWASA tuuuuu!! sidanganyiki
  10. J KING

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    ahahahaj acha propaganda ukanda hauna mashiko! Sumaye karibu!!!
  11. J KING

    Kashfa ya Richmond: Lowassa, Karamagi na Dkt. Msabaha Wajiuzulu

    Ahaha yaani leo ndio unagundua watz ni mbumbumbu!!!~
  12. J KING

    Nimempiga mimba mke wa mtu

    kidume gani wewe mwenye mashaka kibao. wewe kijidume tuu!!
  13. J KING

    Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

    Tatizo la WaTz wanamshambulia mleta hoja badala ya hoja. Shambulieni hoja za huyo mzungu na sio uzungu wake. Ukifikiri kwa dk 5 tuu utagundua mzungu kasema ukweli mtupu. acheni uvivu wa kufikiri.
  14. J KING

    Dkt. Slaa apokelewa kwa kishindo Tunduma; aahirisha kukagua BVR

    huyu ndio mleta mabadiliko na hakuna mwingine
Back
Top Bottom