Kwa Wengne Hawajui Vita Inahusu Nin, Nan Adui Na Nan Mkombozi,nan Kaja Kwa Maslah Na Nan Alipgana Kwa Maslah Ya Wengi,,,hata Kama Tunataka Mabadliko Tuangalie Na Muongoza Mapinduz,,,historia Ni Mwalimu Mkuu,,, Enl Anaipenda Ccm Ndo Mana Alikubali Kuomba Kuteuliwa Na Chama Chake,, Hof Ipo...