Kuna mwamba mwanangu sana kaoa juzi kati, siku ya harusi shemeji anatuangalia wana jicho kali baraa, baadae shemeji baada ya ukumbini mwana katufata club na Shem,
Kacheza mziki ile mbaya mix kalea anakata viuno hadi chini, chupi inaonekana na hawazi wala nini ilibidi mwana akimbie tu aibu...