Recent content by j bhanson

  1. J

    jambo

    karibu bab uwanja ni wako sasa
  2. J

    Nani alimwelewa stara thomas?

    Ni vigumu ku2mikia mabwana wawili.king kong ¡¡¡ kweli kabisa utampenda mmoja zaidi
  3. J

    Likizo ya wiki

    mapenzi kwa binti wa mjini hayo
  4. J

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    juma ah! samahani kwa kuharibu lkn juma ndo nani?
  5. J

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    imepatikana lkn haiuzwi kwa waathirika
  6. J

    Ugomvi wa JK na Kagame kuiathiri vibaya Tanzania kiuchumi. Rwanda, Uganda kutumia bandari ya Mombasa

    zambia,DRC na burundi bado wapo hao wengine wakiondoka hamna shida
  7. J

    Kwanini wanaume viwembe/malaya (players) hupendwa na wanawake?

    hii kweli ukiwa good boy eti polite utaambulia manyoya tu kwa madada zetu
  8. J

    Na hamu yakungonolewa leo

    tembea uone wahenga walisema
  9. J

    Faida za nyanya chungu

    mmenifumbua macho kwelikweli mi nilijua kunywa supu ya pweza tu kumbe dah..hata nyanya chungu
  10. J

    Mpo tayariiii...

    ahsanteni sana kwa ukaribisho huu
  11. J

    mgeni

    karibu sana welcome to the club
  12. J

    Mpo tayariiii...

    yap ni furaha ilioje kijumuika JF ,pamoja sana kjana kutoka swax salamu kwa wote
Back
Top Bottom