Recent content by Izato

  1. Izato

    JamiiForums Tanzania LIVE Mazishi ya Bilionea Sir Wicknell na Mke wake Lulu Chivayo

    Rafiki wa familia ya mama ni rafiki wa taifa 😩
  2. Izato

    JamiiForums Tanzania Tumewaomba mwachilieni Nchimbi tena kwa kuwambembeleza naona imeshindikana, haya…

    Maandiko yanatuasa kwamba aliyepewa kingi atadaiwa kingi, kwa hiyo ukikabidhiwa mamlaka makubwa juu ya watu utadaiwa haki yote uliyopaswa kuwatendea. Otherwise, kutakuwa na kilio na kusaga meno. Na kwa malipo ya hapa duniani anayeuwa kwa upanga, naye atauawa kwa huo.
  3. Izato

    JamiiForums Tanzania Nilikopa Sh 5M kutoka Bayport, nimekatwa kwa miezi 6, nimeomba balansi wanasema imebaki Sh 9M, kivipi?

    Mkuu uliingia katika mkataba wa mkopo pasipo kusoma na kuuelewa vyema kabla ya kuridhia. Mkataba wa mkopo una vipengele vingi vyenye kuonyesha masharti muhimu ya kuzingatia katika ulipaji wake ikiwemo viwango vya riba na muda wa malipo. Sasa umepewa muda wa miaka 10 na umelipa kwa miezi 6 tu...
  4. Izato

    JamiiForums Tanzania Ni basi tu kuna serikali ila uislamu unatamani kumaliza dunia nzima

    Kuna mtego mkubwa sana ambao Israeli itaingia kupitia Abrahamic Accords ili kutafuta amani ya kudumu na mataifa ya Kiarabu. Mikataba hii imeficha agenda kubwa nyuma yake ambayo itaongeza nguvu ya Uislamu na hatimaye kuifanya dunia mateka kupitia mfumo wa dini moja duniani. Ukisikia utawala...
  5. Izato

    JamiiForums Tanzania Kwani Korona imerudi? Samia ahutubia Bunge la IPU Arusha kwa njia ya Video🤣🤣

    Wabunge wamekosa sehemu nzuri ya kuswalia ndiyo maana mbunge wa Arusha kaja na wazo la kujenga msikiti wenye hadhi jimboni mwake.
  6. Izato

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    Labda ni kufuatilia suala la urithi wa mali za marehemu Bonge.
  7. Izato

    JamiiForums Tanzania Niitieni Samia aje na makonda

    Gharama ya huo msikiti inajengwa hospitali ya kisasa pale Arusha! Kweli kupanga ni kuchagua.
  8. Izato

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Katika MoU ya DP World kilikuwapo kipengele cha kujenga misikiti na watawala wakaridhia kwa kificho. Pengine hii ni sehemu ya utekelezaji wake kwa njia ya mapicha picha kama ya Kihindi. Kumbuka no vigumu sana kwa sterling wa movie ya Kihindi kufa kibwege.
  9. Izato

    JamiiForums Tanzania Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    Udhaifu mkubwa wa Mudi ulikuwa ni kutokujua kusoma wala kuandika. La sivyo angalifanya utafiti kama alivyofanya Myunani Luka na kuandika kitabu cha Injili. Huu ndiyo ukweli mchungu nyuma ya dini ya Kiislamu, yaani Shetani mlaaniwa wa Mungu anasilimu na kuwa Muislamu! Giza na mwanga ni wapi na...
  10. Izato

    JamiiForums Tanzania Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

    Mkuu kuhusu Ibilisi kuwa ana uhuru wa kuuhadaa ulimwengu wote, ili amebakia na muda mchache mno. Ila kuhusu dunia kuwa na umbile lisilokuwa la tufe, hapo nahitaji rejea ya maandiko kutoka kwako.
  11. Izato

    JamiiForums Tanzania Uongo ambao dunia inauamini kuwa ni ukweli

    Mkuu siku hizi si jambo baya kujichunguza juu ya afya yako ya akili. Stresses zikiwa nyingi plus much unsolved problems humpelekea mtu kuja na hisia tofauti na wengine. Suala la uwepo wa kioo kigumu juu ya nchi badala ya tabaka la hewa ndilo linaniogopesha zaidi kutoka kwako. Sayansi na...
  12. Izato

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara: Kwanini maeneo yenye Wakristo wengi yanaonekana kuendelea, huku yenye Waislamu wengi yakikabiliwa na umaskini?

    Kwa sababu Waislamu wengi huwekeza akili na nguvu zao nyingi kwenye uwekezaji wa wale mabikira makumi kadhaa pindi wakifika ahera
  13. Izato

    JamiiForums Tanzania Kuna ukame wa Neno la Mungu

    Mkuu watawala waliopo madarakani ni wahuni, waliingia madarakani kwa njia za kihuni, na wanaendesha nchi kwa njia za kihuni. Kwa hiyo basi usitegemee mhuni awe na tabia zisizo kuwa za kihuni. Wahuni wamekuwa wengi sana miongoni wa voongozi wa CCM kiasi kwamba asiyekuwa muhuni huvuliwa uanachama...
  14. Izato

    JamiiForums Tanzania Ninavyo utazama mradi wa Refinery Kenya

    Sizitaki mbichi hizi! Ebu dadavua umakini wa viongozi katika mikataba ya DP World, uchimbaji wa gesi ya Mtwara, Hifadhi ya Ngorongoro, Uchimbaji wa migodi ya dhahabu, uchimbaji wa makaa ya mawe n.k. kisha ndiyo uje na simulizi hizi za alinacha.
  15. Izato

    JamiiForums Tanzania Bunge la EU linajadili kumpitisha Lissu kuwania Tuzo ya Sakharov

    Ama Kwa hakika Tundu Antipas Lissu anastahili kupata tuzo hiyo. Dunia inatambua mchango wake na thamani yake, lakini serikali ya Tanzania imevaa miwani ya mbao ili kukwepa ukweli huo. Poor Tanzanians.
Back
Top Bottom