Sipendi kuhudumiwa na mwanamke sehemu yeyote iwe dukani iwe hospital iwe ofcn iwe popote na mara nyingi akinihudumia sifanikiwi kuna cku nimeumia futi nina vidonda viwil nyama unaziona doctor kaniandikia sindano na nifunge dawa nafka nurse ni wa kike kanichoma sindano tu eti hapo si pakfunga...
Laptop yngu ilkua na tatizo la kurestart ukiiwasha haikubal imedai kuinstall operation system nimeireset sina program yeyote hata nikitaka mc word hamna pia kabla ilkua na shida ya mwanga mkubwa haupungui nakuja niambie upo mabibo gani nikufate 23 April mapema mno unisaidie nitakua wa kwanza...
Nashkur wamenipa kila nilichohitaj na kuhakikisha napata elimu zote mbili ya dunia na akhera nimefka elimu ya juu nimeahidi nafc yngu sina cha kuwalipa ila nitawapa matunzo mema nikipata maisha yngu bila condition yeyote nimefka elimu ya juu wamefariki wote ila nashkur kwa waliponifkisha kwa...
Alichonifanyia mhudumu wa kituo cha mwendokasi pale city council haikua fair nilifka pale nikakata ticket kwenye kuscan wa mbele yngu yake ikagoma akascan ticket yngu akamwambia yule mkaka pita ww mm akaniambia subir wakat ticket yngu akanipa ile ticket iloharbka akaniambia nenda dirishan...
Fatuma binti bilaly kwann unakubal mapenz bila kuzingatia umakini hii inaplkea mimba ziczo za kutarajia kuna dawa za kula kukill sperm pale ambapo umehic cku ya leo ni hatar Kwngu kwa mimba unakula baada ya kudo kuna rafk yngu hostel flani alienda kudo na boyfriend wake bahat mbaya ilkua cku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.