Recent content by Iyelele

  1. I

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    :spy:Huyu pempars sorry Nepi ooh no Nape, kusema ukweli Mungu anisamehe sana maana simpendiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii bora afe tu, kama siasa afanyazo siyo hizo kuna kitu. Ingekuwa enzi za Mwalimu hata kazi ya kupiga brush nyinyiem asingepewa. Kashindwa yeye na chama chake...
  2. I

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    "Hata aibu hana" Aitoe wapi aibu? Umesahau masaburi aliwaeleza watu fulani kuwa wafikiri kwa kichwa na si makalio. aliyasema haya kwa uzoefu wa yeye na chama chake na inadhihirika sasa kwa nyinyiemu wengi hufikiri kwa ****** ndio maana pumba nyingi. CDM wanakazi kubwa ya kuisafisha nchi ya zao...
  3. I

    Chadema yawanusuru wananchi wa Nzasa-Chanika, Waziri Tibaijuka awarejeshea ardhi yao...!!

    "Kazi afanye Tibaijuka, wapinzani warukie hoja, kwi kwi kwi teh teh teh." :spy:Sawa amefanya Tibaijuka baada ya kusukumwa na nani? Unataka kuwadanganya wenzio tu, kwani E. Mwaiposya alikuwa hajui adha ya wana Nzasa, alishawahi kwenda kuonana na Tibaijuka na majibu yake yalikuwaje? Mkutano...
  4. I

    Lukuvi amelidanganya bunge

    Kwa hali tuliyonayo sasa hakuna mtanzania au hata muismani asiyejua kwamba unazi wa Lukuvi umezidi anashindwa hata kuzungumza ukweli wa hali ilivyo ni Waziri stupdy. Yeye kila jambo anajua nilazima liwe la kichama kila kitu kanuni Binafsi nime mchukia sana kwa sanaa zake. Niwasihi wenye hasira...
  5. I

    Hongera Nchemba kwa kumsamehe Mnyika

    Leo ndio nimethibitisha kwamba Nchemba si mzima, kama jana alimsamehe iweje leo arudishe swala hilohilo Bungeni. Nawashangaa hata wanao mrespect kichaa kama huyo. Nyambafu kabisa inaelekea haiwezi kutumia elimu yake vizuri.
  6. I

    Mnyika huwezi vita binafsi na Kikwete

    Mimi na kuuliza kwamba wewe pia ni mmoja wa hao wapuuzi sio? haiwezekani uwe na akili timamamu na si mpuuzi akaamua kwa makusudi kujifanya hujui kwamba KIKWETE rais wa wachakachuzi ni DHAIFU narudia tena ni DHAIFU. Na acha upuuzi wako kudai Watanzania walimpigia kura na kwamba alishinda kihalali...
  7. I

    Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

    "Mbona kama vile mwandiko wa mabango yote ni kama unafanana!?? Ama kweli, "ndio maana Kenya wanatudharau" Si kenya tu Kamanda Dunia nzima wanaidharau siasa ya Tanzania kwasababu ya CCM. Usanii mwingi sana, Kumbukeni Nepi sijui Nape ni msanii na alishatangaza kuwa ni msanii, yawezekana kuna...
  8. I

    Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

    Chamsingi ni kukaza buti sio kukua kujadili udini, ukabila au mgawanyo wa madaraka. Ikumbukwe kwamba CCM na Serikali yake ni Chama kinachoongozwa kutegemea upepo uwe wa asili au wa kuzalishwa. Maana yangu hatautakapokosekana upepo watauzalisha, tumeona kwa CUF nacho kilikuwa chama cha kidini...
Back
Top Bottom