Ushauri wa #63 kipengele namba mbili ni best kwako, omba kwenda shule kujiendeleza Dar au Pwani isiwe ngumu sana ukiwa huko hiyo miaka jipange na unachotaka ikiwemo kuhama, kubadili kazi, kuacha n;k
Mkuu Rufaa Mbeya hawezi kosa hujauliza vizuri nenda uulize vizuri...jaribu uliza kitengo cha CTC pale watakupa right information...Rufaa Mbeya ni kituo kikubwa sana kwa swala la HIV/AIDS management maana hata dawa mpya zinafanyiwa hapo utafiti na pia kuna Bank ya Damu yaani it is impossible...
Nenda ktk kituo chenye hiyo ELISA ndiyo ikupe majibu ya uhakika...pia katika center kubwa kama Hospital za Rufaa watakupeni huduma iliyo sahihi zaidi.Pia Ushauri nasaha wa kutosha unatakiwa hasa kwa huyo mke mtarajiwa....kwanza kama ana umri mdogo inawezekana pia alipata toka kwa wazazi na...
Kama kweli ulienda tu kupima afya na ukakutwa majibu ni hayo napenda kukupa hongera sana maana ni Wa Tanzania wachache tunawaza kwenda pima.ila bado nina imani kama ulikutana na Doctor lazima alikushauri upime na vitu vingine zaidi ya hiyo FBP...je umekuwa na mafua ya muda mrefu ambayo huwa...
Hii Nchi yetu ya ajabu sana,mi ni mmoja wa iliowapeleka CHina kusoma na tupo wengi Kichina tunajua vizuri na Wachina tunawajua sana.But hii Serikali haijawahi fikiria hata kututumia kwa njia yoyote ile.Huwezi amini Ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Beijing hakuna hata mfanyakazi mmoja anayejua...
Mleta mada sijui umelenga nini maana sijui kama hayo ya chadema yaliyoripotiwa yana kasoro zozote kama yana kasoro basi ungeyakosoa.Mi nadhani kama wandishi wana ripoti ukweli si kosa whether ya chadema mengi au mazuri.Ni vyema ukatambua kuwa pengine wakiacha kuripoti hayo ya chadema ndiyo...
Anyway this will bring about a big mess...Yaani Doctor kila siku akiwa anafikiria fanya kipimo kinacchohitaji kulipiwa gharama mpya ndugu/mgonjwa ataziweza foleni za NMB na ku meet treatment arrangements zilizowekwa????!!Anyway kama huo mpango hauna maelezo zaidi ya hayo yaliyowekwa hapo juu...
Haha!Acheni kunichekesha,hawa mimi ni ndugu zangu nimeishi nao na nawakubali sababu mtu Elimu Chini ya Darasa la saba lakini anaweza panda ndege akaenda hata China na akatumia kila njia wasiliana na Mchina na akarudi TZ na kumuuzia vitu hivyo mtu mwenye PhD ya Business...lazima tufanye utafiti...
Jamani naomba nisaidiwe kama kuna mtu yeyote anaweza nisaidia nipateje Chumba cha kufanyia
Biashara yoyote ndogo na mpya kwa Mbeya.Si lazima sana iwe City center lakini eneo lililokaribu na barabara
muhimu au iliyo karibu na Institution kama za shule na vyuo itakuwa safi.
Nitashukuru kwa...
I'm not Clear With Goods which are Tax free when Importing in Tanzania,Which Of these Electronic Goods are Tax free to be Imported in Tanzania: Computer,Computer Accessories,Flash Disk,Mobile Pohnes,ETC Wana JF Naomba Msaada please!!!!
MwanajamiiOne Naamini kila mtu hafurahii kwa uingizaji wa vitu vibaya na hasa vinavyoweza dhuru afya zetu.Lakini Solution unayopendekeza binafsi naona ni haiwezekani maana uki ban goods zote zinazotoka China maana yake ni kuwa humtakii mema Mtanzania wa kawaida, maana ukifanya hivyo utataka...
Hii ni Article ya Jamaa MNigeria mwenye uchungu na mwenendo wa nchi yake and the I think is the same case with our Country!Kila siku tunapiga kelele na Kuchekana kuwa wachina wanaleta vitu feki lakini hakuna hata juhudi yoyote tuliyo ionesha ya kwetu binafsi kutatua matatatizo yetu ili tuepukane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.