Recent content by Iwachu

  1. I

    Ndoto za Juliana Shonza zayeyuka!

    Juliana ni Mbunge. Tuache wivu. Hivi Uwoya na Shonza nan zaidi? Tuweni serious kidogo
  2. I

    GE2015 Uhamiaji kuchunguza uraia wa Zitto

    Acheni talalila zenu. Kuchunguzwa siyo tatizo. Hilo huwatokea wengi tu ni tuhuma toka kwa watu hivyo serikali inachnguza.
  3. I

    Ni mambo mawili, aidha BAVICHA wamekata tamaa ama wamesusa

    Juliana Shonza Nadhani hawatakuelewa
  4. I

    Aliyekuwa Mke wa Dr. Slaa, Rose Kamili amshangaa Dr. Slaa kuwashambulia Lowassa, Sumaye

    Hivi Huyu Rose kamili anajibu tuhuma za Dr. Slaa kwani alitajwa kwenye press ya Dr? Hiki kitengo cha propaganda cha ukawa mbona hakina weledi?
  5. I

    UKAWA ya Dr Slaa INGESHINDWA kwa 10%-, UKAWA ya Lowassa ITASHINDA kwa 68%+

    Kuna watu bwana mnachekesha. Hivi Huyu Yericko si ndo aliyepigwa mkwara na Dr. Slaa dhidi ya kutumia jina lake? Eti Dr. Kuja na mkakati wa ushindi. Hujui siasa kijana. Unaangalia siasa kama upepo na siyo sustainability. Eti umefanya utafiti wakati unashinda kwenye keyboard.hiyo miez minane...
  6. I

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    . Acheni umburula mboma Mimi mkatoliki lakini nakubaliana na mabadiliko? Niliona thread hapa asubuhi ikihusisha mkakati wa KKT na watu wa Kaskazini kuratibu haya nikapuuza kumbe kuna kaukweli Fulani? Achen udini. Hatukuzoea CDM kuwa na haya lakini mhhh
  7. I

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Sundi Malomo alikuwa mfanyakazi wa serikali
  8. I

    Magufuli: Kuanzia leo nitatoa kazi zilizofanyika kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita

    Hiyo ya Kibondo Mabamba Km 35,imejengwa link? Mbona bado vumbi
  9. I

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Hivi mnamsafisha Lowasa kwa kuwa Magufuli ni fisadi? Huku site titarajia baada ya ccm kuteua fisadi aliyeuza nyumba zetu vyama tulivyoviamini vingetuletea MTU msafi na asiye na chembe ya tuhuma na huu ndiyo msingi wa Polepole. Mkiwa na mhemko hamuwezi kumwelewa kwa kuwa mnapenda kisikia mazuri...
  10. I

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Huyu ni Laki si pesa au ID yake imekuwahacked?
  11. I

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Tatizo lako unataka alinganishe ya CCM na CDM. CCM ni chama kilichochokwa tayari hivyo watanzania wengi tulitarajia mapya kutoka upinzani lakini nao wameenda njia ile ile. Lowasa hawi msafi kwa Magufuli kuwa fisadi. Nashauri Mbowe abadili gia angani tena. Yaan tegemeo tulilotegemea limetuangusha pia
  12. I

    Intelijensia ya CHADEMA: Waziri Mwandamizi alietinga tano bora ndio anaihujumu CHADEMA/UKAWA

    Acha upuuzi wewe Gsana. Maaaskofu wangapi wamehamishwa vituo? Acheni kumwingiza Pengo kwenye wendawazimu wenu? Hivi mlipomkaribisha Lowasa Pengo alieashauri? Yaani nyie MTU asipokuwa nanyi mnamuona hawafai? Mbona enzi zile Pengo alipoidema serikali ya JK mlikuwa mnamsifia? Jifunze kupokea mawazo...
  13. I

    Dr. Magufuli: Genius anayepambania urais

    . Utakuwa una wazimu wewe Magufuli awe genius? Hata waliosoma naye katoke seminary hawajawahi kumutaja kama genius. Labda demu wake Sundi ndo kaandika haya. Halafu unaandika kwa mihemko juu ya wapinzani wake. Wanasayansi na magenius wako busy kufanya ugunduzi huko wala hutowasikia kwenye siasa...
  14. I

    Dr. Slaa asipewe nafasi tena ndani ya CHADEMA, aachwe aende zake

    inashindwa kuona Kosa la Mbowe unaona kosa la MTU anayeishii hadhi na siha yake njema. Poor Salary slip unapelekwa kama upepo. Kama kila mwanachama ana haki kwa nin mliruhusu mgombea mmoja tu kuchukua fomu bila kupigwa? Wewe ndo unamsujudia Mbowe na ndo maana husikii wala huoni? Hata kwenye vita...
Back
Top Bottom