Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwanaharakati Mange Kimambi inatarajiwa kusikilizwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Soma pia PostGE2025 - Serikali ya Tanzania yamfungulia Mange Kimambi kesi ya Uhujumu Uchumi. Adaiwa kutakatisha Tsh. Milioni 138
Mange...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, amehoji ukimya wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kushindwa kuchapisha matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kwenye Gazeti la Serikali, akidai kuwa muda wa kisheria wa kufanya hivyo umeshafika ukomo.
Akizungumza jana...
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa mataifa yote duniani yanayofanya biashara na Iran, akitangaza kuwa nchi yoyote inayoendelea na itakayofanya hivyo itakabiliwa na ushuru mpya wa asilimia 25 kwa bidhaa zake zote zinazouzwa nchini Marekani.
Hatua hiyo imekuja wakati utawala wa...
Ukisikia unyakuo ndio huu. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás Maduro pamoja na mke wake Cilia Flores Maduro.
Kumbuka Rais wa Venezuela analindwa na...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, inaendelea kukumbwa na wakati mgumu nchini Morocco baada ya kuruhusu bao moja hadi kufikia dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza katika mchezo dhidi ya Nigeria.
Ikumbukwe kuwa msafara wa Taifa Stars unaongozwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni...
Kama familia inataka autopsy ni haki yao, kama vipi serikali hii haramu isigharamie mazishi ijitoe!
Alafu hawa TISS wa Mombo na Abdul ni wajinga sana - yaani mnapeleka watu wenu hadi vikao vya familia na wanawashtukieni haraka 🙄 mambo ya kizamani haya!.
Mi niliwaambia hiki kifo cha Jenista siyo...
Hata kama polisi wakitoa kibali, ukweli ni kwamba Watanzania wengi hawapendi kuandamana kwa sababu wanaona maandamano yamekuwa fursa ya wizi na uporaji. cocastic Ndiyo maana niliwahi kusema kuwa waliokuwa wakiandamana wengi wao walikuwa vibaka na wezi, hasa hapa mjini Dar es Salaam, wakati...
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited, inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa kusoma Programu ya M.A. Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa mwaka wa masomo 2025/2026.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.