:dance:yes! this is great, I like it very much.
Huyu jamaa amezidi bwana,tulimchagua atuongoze vizuri matokeo yake amefanya Ikulu kitega uchumi chake,familia yake na maswahiba zake.
Safari hii hapati kura yangu ng'oo.Kwanza ameishaiuza kigamboni kwa Rais mstaafu wa marekani Bush na endapo...