Recent content by itabhanya Balasi

  1. I

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA NDOA: Mke wangu anauza supu za mbuzi kwa Siri?

    Tungo tata hoyo.mbuzi kama mbuzi, na mbuzi wewe.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Nchi na Kuwezesha Bei ya Zao la Mbaazi Kuongeza Kwa asilimia 1000% kutoka shilingi 200 (2020) Hadi Shilingi 1,200 (2025)

    Kaka hapo umepotoka.mwaka jana mbaazi tumeuza debe shilingi 50,000 kwa walio wahi,wengine 45,000.watu tukahamasika kuongeza mashamba,labda mwaka huu bei itapanda zaidi.hv navokwmbia bei ilotangazwa ni 700(sawa na 14,000 kwa debe).nenda Gairo kaone
  3. I

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Mauaji ya wakulima na wafugaji, IGP Wambura aagiza askari wapishe uchunguzi

    Yaan nimeona hii katika tarafa moja inaiitwa mwaya huko mahenge.wafugaji wakisukuma wanashindana kufyeka miti tena kuelekea milimani.unashangaa kuna uongozi tokea katibu tarafa hadi kijiji,lakini hatua wala karipio lolote limefanywa Sent from my Redmi Y1 using JamiiForums mobile app
  4. I

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe masharti ya kupata mbolea yanaashiria mbolea hamna. Nimeanza kukosa imani

    Na Hadi sasa mpango haujaanza ilihali kuna wakulima wa kilimo cha umwagiliaji mazao yapo shambani Kwa sasa na hakuna mbolea kabisa Kwa vendors
  5. I

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Sheria inaruhusu ukauze popote ikiwa Tu,umekwenda kureport mathalani ofisi ya madini chunya.wao baada ya kuthamini thamani ya madini na kiasi cha royality unachopaswa kulipa,wanafunga seal unapewa certificate ya kusafirishia Hadi huko unapodhamiria ikiwa ndani ya mipaka ya nchi.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndumbaru kumkemea Prof. Assad ni sahihi kabisa kisheria

    Inamaana serikali ina taarifa kua 60% ya watumishi hawana uwezo na imeitunza hyo taarifa kama Siri!?au mleta mada Unamaanisha nini!?!?
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa ni hotuba ya mwendazake ungesikia...

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].ulivyoiandika kama namuona kwenye TV.wewe ni movie director!?
  8. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yaongeza muda wa kuwaapisha mawakala wa vyama vya siasa kwenye uchaguzi mkuu hadi tarehe 23 Octoba 2020

    [emoji23][emoji23][emoji23] !dah mwamba ulijiandaa!!?
  9. I

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?

    Hivi ukitoa maneno yoote hapo uloandika ukabakiza "msaliti Lisu", ukiambiwa elezea utaandika usaliti wake nini au umekariri tu!? Sent from my Redmi Y1 using JamiiForums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya Choroko kwa kilo

    Mahenge 1200/
  11. I

    JamiiForums Tanzania Madini ya mawe

    Angalia hizo mkuu
  12. I

    JamiiForums Tanzania Madini ya mawe

    Zina rangi mint green,nadhan shida ni camera
  13. I

    JamiiForums Tanzania Madini ya mawe

    Za kiseke Isimani.zipo size tofauti tofauti kuanzia gramu 3 hadi 50
Back
Top Bottom