Recent content by IT saver

  1. I

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah laamua kutumia watoto kama kinga dhidi ya mashambulizi ya Israel

    Wajinga wasiojua asili wala propaganda za Israel watabakia kama bendera kufuata upepo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kundi la Hezbollah laamua kutumia watoto kama kinga dhidi ya mashambulizi ya Israel

    Tangu esrael wavamie parestina hakuna cku wameacha kuua watoto wa kipalestina tena wakati mwingine ni kwa kukusudia bila hata ya mapambano ya silaha. Je na wakati wote huo wanaua watoto wa kipalestina kulikuwa na ghala la silaha wapi? Hizi ni njama ya esrael na washirika wake kutaka kuhalalisha...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    Watoto wa kariakoo utawajua tuu maana msitu wanaojua wao tz hapa ni ule wa ikulu wanaishi tausi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tuko kwenye orodha ya nchi zisizo na furaha? Je, ni kweli hatuna furaha?

    Watu wengi hudhani utajiri na furaha ya mtu mmoja mmoja huletwa na serikali lkn si kweli. Nchi hii hii iliyoitwa inauchumi wa kati ndio inatajiri wa kwanza kwa umri mdogo barani Afrika. Lakini jambo la ziada ni kuwa unatumia vipimo gani kubaini mwenye furaha na asiye na furaha ? Tukiambiwa...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Kupotea bila kujijua

    Na hamukupewa katika elimu ila kiasi kidogo sana (qur an 17:85)
  6. I

    JamiiForums Tanzania Kupotea bila kujijua

    Yeah nmewahi kuisikia hii habari but not proved
  7. I

    JamiiForums Tanzania Habari ya Mtawa Suzan Bathlomeo ilitokomea wapi

    Ni huyo wa bugando maana wenzetu wa jikoni wamekuwa kimya
  8. I

    JamiiForums Tanzania Habari ya Mtawa Suzan Bathlomeo ilitokomea wapi

    Wadau naomba tukumbushane kidogo ile habari ya mtawa bathlomeo maana wengine tulikuwa kuwa kijijini hakuna network
  9. I

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Duru..... Lkn kwa mtu mkubwa kama huyu nadhani uchunguzi utafanywa vizuri
  10. I

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni atema makohozi mbele ya camera Tv akihutubia Taifa

    Muhimu kujua mila na desturi za watu kabla ya kulaumu au kusifia
  11. I

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni atema makohozi mbele ya camera Tv akihutubia Taifa

    Na hata akimeza kesho watasema amemeza mbele ya TV
Back
Top Bottom