Recent content by isubamen

  1. isubamen

    Mwenyekiti wa CCM Mara: Chama kina mamlaka ya kumuondoa hata Rais

    Ni lini na wapi mwenye kiti wa mkoa wa mara kaongea hayo maneno au umetumwa usipende kukulupuka na maneno bro angalia isije ikakucost na mwenyekiti atakufungulia mashitaka kwa kuandika taarifa za uwongo mkiti wa ccm mkoa wa mara ana hekima kuliko unavyofikiria usijaribu kuaribu majina ya watu...
  2. isubamen

    Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe

    Ni lini na wapi mwenye kiti wa mkoa wa mara kaongea hayo maneno au umetumwa usipende kukulupuka na maneno bro angalia isije ikakucost na mwenyekiti atakufungulia mashitaka kwa kuandika taarifa za uwongo mkiti wa ccm mkoa wa mara ana hekima kuliko unavyofikiria usijaribu kuaribu majina ya watu...
  3. isubamen

    Mkasa wa mdada wa kazi: Msikilize huyu dada...

    MUSIKILIZE HUYU DADA......... Nilirudi nyumbani nakukuta nyumba imefungwa, nilishangaa kwani nilijua mwanangu atakua shule na Dada wa kazi atakuepo. Lakini sikumkuta, niligonga sana mlango kwani funguo nilikua nimesahau ofisini. Baada ya kuona kimya niliamua kumpigia simu mume wangu na...
  4. isubamen

    Ukweli mchungu kuhusu maisha

    UKWELI MCHUNGU Hakuna chochote katika maisha cha kupigania! Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu. Akiba yako kwenye akaunti ya Benki ni sawa na mchango wa mtu katika sherehe tu. Boyfriend au Girlfriend wako au mchumba ni Ex wa mtu! Hivyo ni nini hasa cha kujivunia? Maisha...
  5. isubamen

    Nimesoma hii na nikalia sana na nikaona aibu

    BISMILLAH ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR! ALLAH AKBAR! Nimesoma hii na nikalia sana na nikaona aibu kwa Allah kama sitasambaza kwa wenzangu. Maana ina faida na ajeer nyingi. Hii hadeeth qudsy ukisoma utasikia tumbo likicheza peke yake sababu yaonesha vipi ukubwa wa Allah. Subhana hu Wataala...
  6. isubamen

    Siri ya chumba namba 39

    Et Sent using Jamii Forums mobile app
  7. isubamen

    Siri ya chumba namba 39

    KIJANA mmoja mtanashati aliingia kwenye hoteli moja kama mteja, akaomba aonane na bosi. Baada ya kuruhusiwa, mazungumzo yalikwenda kama hivi; Mteja: Samahani, naomba kujua kama chumba namba 39 kiko wazi. Bosi: Ndiyo, kiko wazi. Mteja: Naweza kupata chumba hicho? Bosi: Ndiyo unaweza kupata...
Back
Top Bottom