Recent content by Issa m

  1. I

    JamiiForums Tanzania Abood Bus Services ondoeni kero kwa abiria wenu

    Kweli umenena. Kuna kero nyingine unakata tiketi ofisini kabisa hapo UBT, unapoingia ndani ya stend utakuta mtu mwingine anakuomba tiket anakupa nyingine, anakulazimisha kupanda gar ambalo hulipendi maana kuna gari wanasema zinazidi wakipima mzani watu hawayataki kwa sabbu yakizidi ni usumbufu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

    Nahitaji chumba self maeneo ya Kimara Ubongo Mabibo.Pia nijuze niandae sh ngapi.Ni pm
  3. I

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kupanga.

    Nahitaji chumba cha kupanga,maeneo ya Ubungo,Kimara na Magomeni.Kiwe self container nyumba safi mpya.Pia nataka kujua niandae bei gani.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanaume

    Hitaji lako kama langu,nipo single nina mtoto mmoja umr 45.Ni PM
  5. I

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi(house girl)

    Awe ameisha jitambua
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msichana wa kazi(house girl)

    Anahitajika haraka awe na uzoefu wa kazi hiyo.Mahali ni Moro mjn.elimu angalau form 4.Ni PM
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kiwanja.

    Kipo kiwanja 2 in 1, kimepimwa maeneo ya Tubuyu 88 Morogoro.Bei maelewano,dalali hatakiwi.Ni PM.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni sifa gani mtu awe nazo kuwa dalali wa Mahakama

    Naomba kwa wenye uzoefu na kazi hiyo mnijuze kama kichwa cha habar kinavyosema hapo juu .
  9. I

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba /kiwanja kununua na nyumba /chumba kupanga.

    Usihangaike waone mabingwa wa uuzaji viwanja na majumba pia wapangishaji wa nyumba na vyumba hapa Morogoro mjini wapigie simu 0788 244 666.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Maprofesa na wasomi kutoka UDSM ukilinganisha na wale kutoka SUA: Teuzi nyingi zimelenga wanaotoka UDSM

    Sua kuna vifaa kweli kweli vikitumika vizuri nchi itafika mbali,yupo Prof Shemu umpe Mifugo nchi nzima kila mtu atakunywa maziwa.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Matombo,Morogoro
  12. I

    JamiiForums Tanzania Picha za wanawake wa Kihaya

    Kama upo vzr tupia picha hapa na uwe unahitaji mme wa kukuoa na uwe series kwa hilo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Moto mchibuyu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom