Recent content by israel_george

  1. israel_george

    JamiiForums Tanzania Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Asante mzee kilicho fanyika Kila mtanzania anakijua MWENYEZI MUNGU! .akupe maisha. marefu mzee wangu mamvi
  2. israel_george

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea alipaswa kuungwa mkono hata na Rais Magufuli

    Asante mzee tupatupa kubenea ni mzalendo kweli kweli! Achana na mtu kama liziboni yeye Kila kitu ni kupinga tu.
  3. israel_george

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, ni raha sana kuwa na mbunge wa upinzani jimboni kwenu

    Tunduma raha kazi aliekua diwani wa kata ya tunduma leo hii Ndio mbunge wa tunduma
  4. israel_george

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa milioni moja kumsaidia mtoto Mlemavu

    Jamani kwanini asimgharamie tu mwanzo wa hadi mwisho?
  5. israel_george

    JamiiForums Tanzania Morinho apiga chini mkwanja

    Kama kweli mourinho kiboko
  6. israel_george

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Arusha mjini, Lema atangazwa mshindi

    MUNGU bariki lema na arusha pia
  7. israel_george

    JamiiForums Tanzania Gambia Yatangazwa Kuwa Jamhuri Ya Kiisilamu

    Duuu ni shidaaaa
  8. israel_george

    JamiiForums Tanzania Mhe. Freeman Mbowe amkabidhi rasmi kadi ya CHADEMA Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye

    Makufuri anaapisha mawaziri wake. Kama sio habari y mjini mbona unaifatiria?
  9. israel_george

    JamiiForums Tanzania Neema ya CHADEMA yaingia Tunduma

    Kweli jamani kwenye uteuzi ule kweli jamaa analipa fadhila
  10. israel_george

    JamiiForums Tanzania Chief Kalumuna wa CHADEMA achaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba

    Hongera zake
  11. israel_george

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    jun255;14820182]Hivi we sio mke wangu kweli? Maana hata sisi tuna mwaka na miezi saba na pia una ujauzito! Mungu nisaidie Itakua ni wako jamaa. Kama ka kwambia anamimba basi ujue ni Wewe
  12. israel_george

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufanya mkutano mkubwa kesho uwanja wa Sinoni; Mbowe, Lowassa kuhutubia

    Tanzania Njema Yaja;Chadema/ukawa milele.... bila nyie ccm wangetupa raisi kibogoyo... ni suala la muda tu mtakamata nchi... watz wako tayari kwa mabadiliko.... Kamanda tupo pamoja pande kwetu Tunduma tunawatakia Kila lilojema Liwe juu yenu wana wa arusha
  13. israel_george

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

    [QUOTE=Abigail30yrs!;Wewe ushazeeka tayari.Uliibania mno;Halafu hiyo ya kubagua dini ndio kabisaaa ishakukosesha Mme coz mwanamke hana dini ni wa wote. Huyu hataki kuolewa
  14. israel_george

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awatimua Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mwenyekiti wa Bodi na Katibu Mkuu Uchukuzi

    [Mmjepo;Unaharibu jina la Rais wetu anaitwa magufuli siyo makufuli. Nilifikiri hujanielewa safi sana jepo
Back
Top Bottom