Recent content by isqo omy

  1. isqo omy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi hupenda kufunga macho wakati wa kufanya mapenzi?

    bwahahaaa
  2. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Ni chama gani unafikiri kinaweza kutoa rais aliye kama mfano wa kuku na vifaranga vyake?

    tokea nimeanza kusoma thread za vuguvugu za siasa we ndo wa kwanza kukuambia umefikiria mbali salute to you!!! bado hawajausoma mchezo we waache wapige kelele lkn 15 mgombea binafsi ndo dili tchao
  3. isqo omy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    haaaha wale pale Man u nyie jichanganyeni tyuu ndi mtaona cha mtema kuni !!!
  4. isqo omy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    tupo ktk nafasi nzuri na tunauhakikwa wakumaliza tukiwa ktk nafasi nzuri pia
  5. isqo omy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji yanga wapigana ngumi live uwanja wa taifa

    ilikuwa khatar hiko kichapo
  6. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    dah haya maalim tunakusubir uje utupe hilo daraaasa
  7. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    usiwe mvivu kushughulisha akili yako ndugu the proof is " wahay ulivokuwa unashushwa palikuwapo na watu waliokuwa wanaandika qur-an taktifu " in other side jaribu kufuatilia maandiko ya kipindi cha yesu yameanza kuandikwa lin " au hujii kwamba wewe ni wa agano jipya
  8. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    u dnt ned to use power to understand cz nimeweka post 3 tofauti jaribu kuzisoma upya na uzielewa !!! n we huko makanisani kwenu ndo lugha mnatozotumiaga ku ague
  9. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Yesu Katika Injili Kama ilivyodokezwa hapo awali, Agano Jipya, na hususan vitabu vitatu vya injili - lina nafasi maalumu kwa Wakristo. Wanavichukulia vitabu hivi vinne kama mwongozo, kwa sababu moja muhimu. Vitabu hivi vinne vya injili viliandikwa KWA AJILI YA Wakristo na viliandikwa NA...
  10. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    Uchunguzi Makini Juu Ya Agano Jipya Ambapo Agano la kale lina umuhimu mkubwa sana kwa Wayahudi, kwa Wakristo halina nafasi muhimu kiasi hicho ambapo wao wanaliona kuwa kwa sehemu kubwa ni mkusanyiko wa utabiri wa manabii juu ya kuja kwa Yesu. Amri na mafundisho yake hayana uthabiti...
  11. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa kina mama wapendao kwenda ufukweni

    MAANDIKO MATAKATIFU YA KIKRISTO Dini iliyofunuliwa kutoka kwa Mungu ina nguvu na inakubalika sawa sawa na vile ufunuo ulivyo na nguvu na unavyokubalika. Kwa upande wa ukristo, msingi huu ambao ni mkubwa na mkuu kuliko yote ni dhaifu kabisa kutokana na kuingizwa mikono na akili za watu...
  12. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Mtakesha na kuomba Zito hatoki CDM ng'oo

    mxiuu"" time will tell!!
  13. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba.

    24 jeh
  14. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Nifahamishe kuhusu denda, kunyonyana ndimi

    duhh nini ati lita 5 tehe
  15. isqo omy

    JamiiForums Tanzania Mkapa aingia mitini

    huhuhu majanga:screwy::screwy:
Back
Top Bottom