Recent content by isombwe

  1. I

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kama umesoma 'private school' atakayekupa mkopo ni kichaa

    Anataka kutuamisha kuwa gharama za kusomesha ngazi za msingi, sekondari na elimu ya chuo kikuu zinalingana! Hizo ni kauli za kuendelea kukatisha tamaa watoto wa wasaka tonge
  2. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Hiyo pia inaweza kusaidia kwasabu pengine yaweza kuwa ni kosa lao kukuhamishia halmashauri ambayo hukuomba, watakusaidia
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka nizifute nyodo za huyu dada kwa "kutembea" na mumewe

    Kwani tambo zake zikiisha wewe utakua umefaidi nini? Kumbuka hata ukitembea na mumewe yeye atabaki kuwa mkewe na wewe utakua umejidhalilisha, tafuta Mume wa kwako nawe ulinge nae Dada.
  4. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kama ni hivyo bora uende ukaripoti ndugu, ujue ni rahisi sana kuomba Uhamisho ndani ya mkoa kuliko mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine!
  5. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Kama iko ndani ya mkoa unaotaka kwenda mi ningekushauri ukaripoti hayo mengine yatafuata baadae, maana usipoenda kuripoti unaweza kuanza mchakato upya
  6. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Iko ndani ya mkoa ulioomba?
  7. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Jamani majina yameoka jana!
  8. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Mikoa ilibaki jamani mpaka lini????
  9. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yatoa majina mapya ya uhamisho Februari 2018

    Singida nayo haipo tena jamani duuuu!!!
  10. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Wangetoa tu Hiyo mikoa iliyobaki ili tujue kama ndio au hapana kuliko kuendelea kutuweka pasipo kujua nini kinaendelea, inakatisha tamaa sana.
  11. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Ndugu singida vipi, ukipata anaetaka kuja singida naomba uni pm
  12. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Mm hapo sasa inabidi ufuatilie kabla hawajatoa awamu ya pili labda kulikuwa na shida mahali, kwani ulikuwa unabadilishana? Wacha tusubiri nasisi ambao mikoa yetu haijatoka
  13. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Sijui utaratibu wao ukoje yaani! Mkuu we mkoa wako umetoka na jina lako halipo?
  14. I

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Unataka kwenda wapi?
  15. I

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI watatoa lini majina ya walioomba uhamisho wa vituo?

    Jamani mlio karibu na wakuu hamjanusa harufu ya kutoa majina ya walioomba Uhamisho?
Back
Top Bottom