Kila mmoja na tabia yake kuna wanaokunywa pombe na walevi wa wanawake na kuna waopenda wanawake na wakawa hawalewi na kuna ambao hawapendi hata kuwa na wanawake na pia hawalewi
Mm sishangai kwa maalim seif kusema amekubali kurudiwa kwa uchaguzi kwani nakumbuka miaka iliyopita wakati AMAN ABEID karume rais alosema hamtambui lakini akaja aliposema mwaka 2009 kwamba anamfahamu kuwa ni rais nilistaajab sana leo kuja kusema amekubali uchaguzi urusiwe sio jambo la kustaajabu...
Funga ndoa nae akikwambia muda bado achana nae huyo anakupotezea tu wakati, mfano ukimpa penzi halafu akikuacha utafanya nini? Usiangalie karibu angalia mbele kitakachotokea mm nahisi ukimpa penzi ikiwa hakuridhika atakuacha je umejipangaje kwa hilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.