Recent content by Ismail Kahenga

  1. I

    JamiiForums Tanzania Serikali Imedanganya tena Juu ya 1.5 Trilioni, RECEIVABLES na PAYABLES ni Chanda na Pete, Havitengamani

    Zitto watu wenye akili timamu kama mimi ndio tunakuelewa,unaeleweka sana,una hoja nzito sana. Hawa jamaa wa 'tatu toa sita haiwezekani,unakopa mbili unakwenda nazo kichwani' tuliisha wasamehe.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Mungu gani ikiwa mwenyewe haamini kama kuna Mungu.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Nape na Zitto! Makinikeni, msonobari hauchorongwi

    Kanusha kwanZa hoja za Zitto za kusinyaa kwa uchumi wetu kwa data...wengine tunasoma humu.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

    Labda maneno mengine haya tafsiriki kwa kiswahili teh teh...psychoanalysis ndio jamii ya akina ambidextrous au ambiguity duh!
  5. I

    JamiiForums Tanzania TRL Tatizo behewa au reli?

    Tatizo ni mabehewa au tatizo ni njia(reli)?...ndani ya siku moja mabehewa 11 ya treni mbili tofauti yaanguka.7 treni ya kawaida na ma4 delux train.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Zitto, ungana na wapinzani wenzako...

    Mnajitoa fahamu tu,hivi mmeisha sahau kwamba zitto(ACT) aliwaandikia UKAWA kuomba kujiunga nao na hajajibiwa mpaka leo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Luhwavi, Membe na Lukuvi, mnayopanga Gizani ili Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM yawekwa Hadharani

    Mi navyojua magufuli haendi kugombea nafasi ya uenyekiti wa CCM bali anakwenda kukabidhiwa kijiti ili aendeleze. Sasa napata shida kuelewa mtu ambae anakwenda "kukabidhiwa" anawezaje kukwamishwa.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais bora wa pili tangu tupate uhuru

    Tupe vigezo ulivyotumia kuwapanga katika huo mlolongo
  9. I

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Ameingilia himaya ya mke wake duh...kazi ipo!
Back
Top Bottom