Chinese: Russia is capable of destroying NATO and wiping the US off the face of the earth
In a communiqué adopted at the end of the Vilnius summit, NATO accused China of helping Russia in Ukraine, Guancha reports. The alliance received a harsh response from the Chinese Foreign Ministry, which...
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115] wavaa makobaz mna shida sana ingekuwa ni rahisi hivo wale wapalestina si wanabondwa na israel kila siku na marekni na nato si waliwapiga hao waarabu kwani walishindwa nini kusoma hiyo blaah blaah blaah albadili ..wakageuka mijusi au panya au mende mbona...
[emoji23][emoji23][emoji1787]mjamaa anafunguka vibaya mnoo aisee wakenya wana roho ngumu mnoo aisee [emoji23][emoji23]
majamaa hawajali kama polisi wana bunduki wanaona kuliko kufa kwa njaa ya kukosa ugali kwa sukuma wiki bora wafe kwa bunduki...[emoji23]
sasa mkuu nato si ipo kwa ajili ya kutetea mataifa yanayoonewa na madikteta kama libya iraq siria afghanistan si walifanya hivo wanangoja nini kwa russia .......
kwanini hao nato wasiingilie kati wakamvamie RUSSIA kwa putin kwani wanakwama wapi mkuu....[emoji848][emoji848]?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.