Recent content by Islamicstate

  1. I

    Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Ben Saanane is secret national servant. Kama hujui lijue hili.
  2. I

    Hawa ndiyo vijana wa Lowassa waliokamatwa na Polisi

    Ben Saanane ni USALAMA WA TAIFA. NAJUA HILI VEMA.
  3. I

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Mtasikia tu kitakachotokea huku Zanzibar, Wazanzibar tumechoka kuonewa na makafiri Wa bara.
  4. I

    Ziko wapi Media Ethics kwa ITV/IPP Media?

    ITV, the super brand
  5. I

    Dodoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Usidanganye watu haini mkubwa wewe, CCM haishindi hapa....Dodoma ndy makao makuu ya nchi, kuna binge la tz hapa ila ndy mkoa unaoongoza kuwa na ombaomba wengi.!!CCM out mwaka huu
  6. I

    Dodoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Waambie kwa kuwanong'oneza Lowassa atatusaidia Watz.
  7. I

    Iringa - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Tayari nimeshachinja. Lowassa ndiyo Rais, Msigwa ndiyo Mbunge, Oscar Kafuka ndiyo diwani. Kutoka Makanyagio hapa.Doria inaendekea nipo kwenye defender ya usalama. Ole wake nimuone mwama CCM anafanya kampeni au anagawa pesa. Hata sisi maisha ni magumu.
  8. I

    Dr. John Pombe Magufuli Live Star TV kupiga kura Chato

    Kutoka Chato, MAGUFULI aenda pekee yake kupiga kura bila mke wake wa mtoto. Hali sio nzuri hapo Chato...watu wanamzungumzia mgombea huyu wa URAIS kupitia CCM kuwa ni mtu mwenye unyanyasaji wa kijinsia. Hali ni mbaya kwa wanawake wengi hapa Chato wanazungumzia vibaya sana MAGUFULI pia hata...
  9. I

  10. I

    Dr. John Pombe Magufuli Live Star TV kupiga kura Chato

    Lowassa ndiyo Rais. Kutoka Magu.
  11. I

    Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Lowassa ndy Raise...kutoka Magu.
  12. I

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Kikwete hana hata busara. Viva EL
  13. I

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Jamani huyu mtu hafai kuwa Dr. Naomva taasisi iliyompa PhD imunyang'anye Mara moja.Kuhusu Richmond, mwaka 2008 aliongea tofauti kuhusu uhusika Wa EL na sahihi anaropoka tofauti!!!, ni sawa na kile alichokiandika kwenye kitabu cha pepo ya Mabwege, sahivi anapingana na maandishi yake mwenyewe.
Back
Top Bottom