Recent content by ISIDORI

  1. I

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CHADEMA wamepoteza matumaini na chama chao na Viongozi wao

    Aisii hiv huyu mwanamke yupo! hivi kaandika nini sasa! acha kujikomba, huna jipya.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais asiyetabirika kutoka upinzani!!

    Mleta mada nafikili ni mpiga ramli, Ukawa wana talatibu zao za kumpata mgombea, usituletee mambo ya ki-ccm.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Kweli Azam tv wanastahili pongezi, naomba kama wataona inafaa kwa sisi wapenzi wake watuwekee Capital tv pia, tutashukuru sana.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Profesa Amechelewa.. !

    Ndugu Maggid umeandika vizuri sana! ukweli mtupu.
  5. I

    JamiiForums Tanzania M4C-OPD: Picha toka Bunda kwa Stephen Wassira

    Chadema ni vitendo, hakuna longo longo
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je CHADEMA hawana watetezi wa chama Mikoani mpaka akina MBOWE, SLAA na LISSU wanazunguka kwa CHOPA?

    Huyu jamaa vipi? hivyohivyo hata cdm kuna ziara nyingine lazima wafanye viongozi wa makao makuu.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Je CHADEMA hawana watetezi wa chama Mikoani mpaka akina MBOWE, SLAA na LISSU wanazunguka kwa CHOPA?

    Siku za nyuma magamba walikua wanasema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu! sababu eti wanafanya mikutano kipindi cha uchaguzi tu! sasa hivi wamebanwa kona zote wameeanza kulialia. Jana nimemsikia nape anasema Songea kuna ghala la serikali na waziri wa kilimo ana miaka minne hajafika, sasa...
  8. I

    JamiiForums Tanzania MAAJABU YA JK: Atoa msamaha kwa mfungwa mmoja wa EPA wakati wengine 5 kawatosa

    B Best hakuna hunachojua kuhusiana jinsi ya msamaha wa rais na parole zinavyo fanya kazi. tafuta mtu anaye jua akueleze! kama hujui kitu usiwe unakurupuka ili na wewe uonekane unajua!.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CHADEMA yetu bwana

    Machicha!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee Live Ndani ya Ukonga Jumapili hii...

    Aisiiii lazima niingize timu! yaaani Mdeee! acha kabisa.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hamuwezi kutwaa dola kwa idadi yenu ya wanachama 20 pekee munaoaminiana!!

    Dogo nyakarungu si muanzishe chama chenu ili muyaweke mambo yenu mnayo yataka? manang'ang'ania Chadema kuna nini?
  12. I

    JamiiForums Tanzania Updates: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

    Umesema wabunge nao watahudhulia ina maana hata Shibuda atakuwepo?
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mbowe akiwa msiba wa Mhe Zamberi Ngobai aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyasura, Bunda

    Kweli kabisa diwani huyu nilikua namfahamu sana kipindi cha uhai wake, alikua jembe la ukweli, mpigania haki na mtetezi wa wanyonge.
  14. I

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

    Diwani wa Chadema kata ya Nyasura wilaya ya Bunda ndugu Zamberi Mwisarya Ngobayi amefariki dunia jana tarehe 28.10.2013 ktk hosp ya Bugando Mwanza kwa ugonjwa wa moyo. Bwana ametwaa!
Back
Top Bottom