Wanajamvi leo kutakuwepo na mkutano wa CHADEMA viwanja vya barafu mjini Dodoma kuanzia saa tisa jioni. Nitajihidi niwezavyo kuwajulisha kitakachoendea. Mkutano huo utahutubiwa na wabunge na viongozi wa CHADEMA waliopo vyuo vikuu.
Updates: Mnyika jukwaani
Updates: Mnyika jukwaani