Recent content by IshengomaSenior

  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Habari! Mada km iyo imewah kuwasilishwa na mdau mmoja na nilipata nafasi ya kuchangia kwa nnachokijua juu maambukizi ya VVU. Nmeona post ako ikabidi ni attach kile nilicho comment kwa uyo mdau nafkr ukipitia utapata chochote na comment angu kwa mdau uyo ilikua km ifuatavyo: "Pole mkuu kwa hofu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    karibu
  3. I

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    Asante mkuu,...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    Huna mkuu,..soma maelezo niliyotoa kulingana na post ako
  5. I

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    Hapana mkuu, unaweza jaribu uone...huwez hisi chchte km ujafanya!
  6. I

    JamiiForums Tanzania Eti jamani nitakuwa nimepona UKIMWI?!

    Pole mkuu kwa hofu uliyonayo mpaka sasa. Kufanya mapenzi na +ve partner c lazma kupata maambukizi. Unaweza fanya ngono zembe km ilvyokutokea na uyo +ve partner lakini usipate maambukizi japo ni hatari. Inaonekana ni miezi mitatu since then naumecheki huna, iyo inawezekana kabisa kwani kuna watu...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ruaha Catholic University- RUCU hatujapata pesa ya field hadi sasa!

    Poleni mtapata tuu,..japo ni nusu!
  8. I

    JamiiForums Tanzania Kupata VVU si kazi rahisi

    mkuu nmependa signature ako,.."E pluribus Unum",...it reminds me sth!
  9. I

    JamiiForums Tanzania Tuwekee picha za zamani hapa, mi naanza hivyo

    Kweli, every one has a story!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Sasa ni Dhahiri: Bandari yakumbwa na Uhaba wa Mizigo

    Ni bora mizigo michache inayoingia kuptia bandarin na kulpiwa kodi kuliko mizigo mingi inayoingia na kukwepa kodi,...
Back
Top Bottom