Recent content by ishenga

  1. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana Allan Mafue ambaye ni mmoja kati ya waliohukumiwa kunyongwa katika kesi ya mauaji ya Wayne Derek Lotter yuko uraiani

    Mbona na sadala ya shukann tulishapeleka kanisani mailing sita kitambo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa?

    Wadau habari za jukwaniii kwa yanayondelea tuhuma mzito za Balazi Polepole na Dkt. Slaa ndugu yetu Msigwa msemaji wa serekali kajichimbia wapi au anasubiri wanafunzi wa vyuo awachimbe biti wakipost No Reform No Election?
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke Wangu Ana UKIMWI Mimi Sina. Je, Nifanye Nini?

    Juzi kakunyima unyumba miaka Leo ukimwi ndoa ina miaka 7 unawatoto saba
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
  5. I

    JamiiForums Tanzania Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Ingia google andika gonorrhea treatment choma sindano hiyo utakuja nishukuru
  6. I

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

    Kama hujui kaaa kimya miradi ililetewa dummy cash kwenye mfumo , Hadi Leo from September hajalipika Hali ni Tete supplies wanahaha wenye mikopo benki watakuwa na Hali ngumu sana
  7. I

    JamiiForums Tanzania Serikali ituambie sasa ni lini na wapi zabuni ya uwekezaji wa bandari ilifanyika?

    Hacha ujinga wako magu aliuza Nini ndege zinaubia Gani bwawa Lina ubia Gani sisi sio maboya kenge wee
  8. I

    JamiiForums Tanzania Dodoma: 12 wafariki na 63 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi la Frester kogongana na Lori

    Du poleni jamn huwa napanda Hilo bas pale cbe saaa Tano usiku kwenda dar huo mwendo ukifika magufuli unashikuru kingamuzi wangoa na kuweka mfukoni
  9. I

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

    Achen porojo hili jengo limejegwa na michango ya lazima Kwa watumishi Kwa amri ya Ras kipindi Cha mwendazake hakuna Hela ya chama hapo
  10. I

    JamiiForums Tanzania Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

    Mjini chief njooo dm
  11. I

    JamiiForums Tanzania Wenyeji Mbulu mkoani Manyara naomba mnijuze haya

    Karibu mdau logde zipo nyingi sana na pachuti utapata za kutosha nitafute ukifika
  12. I

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mapumziko siku ya Sensa

    Kwanza hili litakuwa kichaka Cha wezi kuingia majumbani kwa watu mchana wakijifanya maafisa wa sensaa na kuiba bila wasichana wa kazi kujua malengo yao
  13. I

    JamiiForums Tanzania Trafiki wapukutishwa barabarani, Vilio vyatawala

    Huyu alibak na leseni yangu Hadi leo miaka miwili sijaenda kuchukua kosa baulb ya endicator kuungua bila jua alikuwa na roho mbaya zaidi ya shetani
Back
Top Bottom