Recent content by Ishaaz

  1. I

    Msaada kuhusu mafuta ya vitamini E

    Wanajamvi! kwa yeyote aliyepata kusikia kuhusu mafuta ya vitamin E....ndo yapoje et ! i need to know that plz....
  2. I

    VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    kwahyo may be vilitakiwa viwe vya ngap labd??
  3. I

    VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    ina maana kwa positions vilipowekwa havistahili ama?
  4. I

    VYUO VIKUU 17 BORA TANZANIA- By 2013 University Web Ranking

    Nothing new there! hyo rank kila siku nd hyohyo!...hahahaha af we are very tired na thread ka hiyo! Mda si mrefu zogo linaanza humu....wap ifm mpooooooooooo
  5. I

    UDOM haina soko Tanzania?

    Hahahaha......acha umbwesenge ww! acha kudis chuo cha wenzio kihivyo...though nasoma ud but naona kawaida tu....mm nimepiga field na wanafunz wa udom...guys they know wat they are doing....wako competent kuliko au sawasawa na sisi wa ud...mnawakashfu bure af watanzania ndo zenu full mawivu...
  6. I

    I think am falling...

    dunia imeisha...wew kama umeamua kumfata mungu mfate kwa moyo! na kama ukiona una hisia bas kuwa just a normal girl jiachie tu but usimshirikishe mungu na anasa za kidunia...ww sista nakwambia hvyo kama unatabia ka hizi! shame u
  7. I

    I think am falling...

    na akusamehe kwel! ila kumbuka huyo ni sister...na kama majaribu ya kidunia ww ndo umemuifluence na yy kutaka kufanya hvyo! broo hcho unachokifanya sicho...hv huogopi maradhi kingine try 2 respect your girl af jiheshimu ni utoto huo
  8. I

    Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

    :bowl: mmh! kwenda huko roho mbaya 2...m cjui ndyo dat why nimeuliza na siajabu hat ww ulikuwa hujui....majungu hayo! tedo inakuhusu hyo
  9. I

    Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

    Na huwa wanatumia logic gn kupata g.p.a ambayo ndo inainclude kam ni 1st class etc. coz matokeo ya 1st wanakuandikia g.p.a yko uliyoipata then 2nd year hvyohvyo mpk 3rd year.....hii inakuwaje
  10. I

    Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

    hahahaha! msamehe bure mshkaj.
  11. I

    Wajameni! Ku'sapu' na ku'carry' kunashusha G.P.A?

    Na kama ukiwa na g.p.a ndogo lk 2 hv...je unaweza ukaipandisha mpk 3 hv, kama ukikaza msuli lkn?? je inawezekana kuipandisha kutoka g.p.a ndogo mpk kubwa
  12. I

    msaada kuhusu mpangilio wa GPA

    meona eeh! Af humu kuna baadhi ya wachangia mada wanajifanya wana g.p.a ya 5! jma let talk the true chuon n kugum na hizo g.p.a mpk upate kubwa u should struggle san tena zaid ya san
Back
Top Bottom