Recent content by isaryalande

  1. isaryalande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heko za Sikukuu 🎄 kwa Wadada na Wamama....

    Mke nimempa hela ya kununua vitu vya kupika amekataa kuingia jikoni kisa sijampa hela ya kwenda saloon.
  2. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Hata Xmas ni ya CCM?
  3. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Acha udini hautakusaidia.
  4. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Kweli?
  5. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Printed ID Holders: Wanauzaje jumla na Ku-Print

    Kwenye printing unatakiwa kutoa idadi ngapi unahitaji ili uweze kupewa Bei ya jumla, mfano anayeprint 10pcs ni tofauti na anayeprint 100 mkuu
  6. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

    Fanya maamuzi ya kupunguza kidogokidogo utafanikiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. isaryalande

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za Limbwata Wanawake wanazotumia kutushika, je we umepewa mojawapo hapa. Ni uchafu mtupu

    Nimependa ushauri huu
  8. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Nimechukua mkopo benki, naomba ushauri katika namna niliyopanga kuutumia

    Njoo unione Sent using Jamii Forums mobile app
  9. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Ndio lakini ameshindwa kujiendeleza kielimu ya sheria na pia hataki kusoma katiba ya JMT kujua mamlaka ya kila muhimili wa nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Mheshimiwa Rais asipewe utukufu wa Mungu!

    Tuwaombee viongozi wetu Mungu awahurumie maana wameamua kumzidi yeye aliyewaumba na wameanza kumpangia majukumu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    kwa sababu kuwa mpinzani ni sababu ya kuikosoa serikali iliyo madarakani, sasa unapoamia chama tawala unaenda kukosoa nini?
  12. isaryalande

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    "clouds tv wabadilishe picha waweke ya Kibonde sasa" (ni ushauri tu)
  13. isaryalande

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    "kwa kumuenzi endelea kufuatilia jahazi"" KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA - APUNZIKE KWA AMANI
  14. isaryalande

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

    RIP. KIBS POLENI CLOUDS FAMILY POLENI WANAFAMILIA WA KIBONDE MUNGU AWAPE MOYO WA SUBIRA "BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE" AMEN!
  15. isaryalande

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

    Napata kigugumizi kuzungumza kwa sababu ni kweli ni haki kikatiba kiongozi wa kisiasa kuondoka chama a na kwenda chama b. Ukakasi unakuja pale kiongozi yule yule anapoteuliwa kugombea nafasi ile ile aliyoiacha kule alipotoka :-)
Back
Top Bottom