Mnafungua kesi ili kuwaaibisha viongozi wenu hiyo kesi mngekua na akili sawa sawa mngeifuta tu sema kenge mpaka damu itoke masikioni ndio anajua hatari.
Unatukana matusi makubwa harafu unakuja kuomba msamaha kirahisi tu endelea kutukana Mkuu karma ya kila baya lipo hapa hapa Duniani...
Mimi sio mnafiki sikusamehe 90 mara 1000 inatakiwa ujue zipo ngoma ngumu zenyewe hazitukani ila pia kusamehe ni sahau..
Kila mtu anajua waliohusika kwenye mauaji ni nani harafu wanataka kutumia muda mwingi kujidanganya wenyewe wakati Wananchi na Dunia inajua nani ndio wauaji.
Upo sahihi Mkuu Mwanaharakati mmoja alitoafutiana na sera ya Mandela wa ANC kuhusu umiliki wa Ardhi SA baada ya Ubaguzi wa rangi kuisha kisheria akiwa na chama chake wao walitaka wawe huru pamoja na ardhi yao baadae akauawa mwaka 1993 huko Borgsburg hata kabla ya uchaguzi kufanyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.