Chief ww ungeandika chanzo cha kifo cha wazir wetu nasio siasa ulzoandika hapa au ww ndio umeandaa history ya marehem ht hvyo subir wakat wa mazish sio hapa bhana.
Jaman jaribun kua waelewa au had mpelekwe darasan? Ushaambiwa hicho chama ni kwa waliofkisha miaka 18 sasa changanya akil km kwenu bado kuna mtoto wa umri huo yupo form one na km yupo haina maana hana haki ya kujiunga na chama chochote so as age inaruhusu na katiba imeweka waz hilo bhana na hizo...
Ww ndio umehc wazo la kijinga lakin uclazmishe kila mtu aamini ujinga wako na kimsingi hizo ni njia zakumfanya mwanafunz awe aware na siasa za nchi yake nasio lazma had chuon kwan ht huko migomo haijaruhusiwa.
Dah!pole xana lakin bora umemuona mabint wa ckuhz hawana mpango yawezekana alkuwa hatak kusema ukwel ili aendelee na huyo mchizi xo km vp mpigie ujue anataka nn.
Pole xana lakin km mwanaume unatakiwa kua na msimamo hadi hapo tayar umeharbu kaz bila sababu ya msingi na sio kila habar ni zakuweka humu jf inakuwaj km boss ashajua?take care bhana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.