CHADEMA kuzindua umoja wa wanafunzi Wa Shule Za sekondari ambao Ni Wafuasi Wa CHADEMA

Waacheni vijana wasome, walimu hakuna, mazingira mabovu na bado mnataka kuwapelekea siasa ndani, mtaharibu kizazi kwa uchungu wa madaraka. Wale hamasisheni wawe na somo la uraia linalofundishwa vizuri na sio matawi ya siasa.
 
Kwa wanafunzi wa sekondari hapana!!!!!

Waachwe wasome!!!!!!

Mbona vijijini na mijini watu wengi tu hawana kadi,hebu nguvu ya ushawishi ielekezwe kwa hawa!!!
 
Idea gani ya cdm iliyoshindwa kuendelea? nyingi mnazicmamisha nyie kwa mabomu yenu ya kichina,kwa sasa m4c inafanyika kote nchini kimya kimya bila promo ili msiendelee kutuulia raia wasiokuwa na hatia labda kwa vile nimekupa siri hapa bs mwambie savimbi kabisa kuwa m4c kumbe bado inachanja mbunga japo mwenzie kibarua kimeota nyasi ila najua hashindwi kutumia uzoefu wake
Soma hapa,

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oa-zitto-kabwe-na-kitila-mkumbo-huu-hapa.html

Siyo mimi niliyesema hapa bali baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA ndiyo walisema haya maneno!

By the way, usitake kujifanya unanifahamu na kuuaminisha umma wa wanaJf kuwa unanifahamu na kwa maana hiyo, unanichagulia hata mlengo wa itikadi za kisiasa.

Jadili hoja iliyoko mezani na siyo kujadili mlengo wangu wa kisiasa kama vile unaufahamu.
 
Asante chadema kwa kuiga ccm na kujifunza toka ccm.
CCM INAJUMUIYA KAMA HYO MUDA SANA NA KWA USHAHIDI INGIEN FACEBOOK MUONE ATA GRUP LA
CCM SEC STUDENTS ORG (CSSO)LIMEANZISHWA LIN

ENDELEEN KUIGA MAZUR YA CCM
 
Naomba serika katika hili muingilie kati maana chadema wanataka kuwaaribu kabisa hawa wanafunzi.

Katika hili chadema ndio watachangia kwa kuongezeka kwa zero.

Hivi chadema mmeshindwa kwenda huko vijijini kutafuta wanachama sasa mmeanza kuwaingiza hata wanafunzi?

Lala salama eeh!! Usiku mwema
 
kwa hili siungi mkono its too early kuwahusisha watoto na siasa plz serikali zuieni huu upuuzi.
 
Chadema baada ya kuona imekataliwa na watu wazima sasa wanataka kwenda kuwaharibu watoto wetu, mnataka kuwaingiza watoto kwenye maandamano, watasoma muda gani mwisho wa siku hawa watoto watakuwa walevi wa gongo tu.
 
HAYA... HAYA... HAYA... HAYA!!! Hili ni bao la kisigino mazeeee!!!
 

Attachments

  • 1388436653230.jpg
    1388436653230.jpg
    25.3 KB · Views: 135
Msiishie hapo tu, muende mpaka kwenye shule za msingi! CCM huwa wanawajaza trash watoto wetu kwenye shule za msingi... Mfanye juhudi za kuwapata waalimu wa shule za msingi na sekondari ...
 
Hivi kuna shule ambazo ni wanachama wa chadema?

Sikujua hili, nilidhani wanafunzi ndio wanachama kumbe shule??/

strictly between us; You are just a damn shit; buku7 can only serve you a meal, bu not more
 
Tuweke ushabiki pembeni. Hawa vijana wa sekondari hawatakiwi kuingizwa kwenye siasa.

Kwa nini Cdm isingeanzisha vituo vya kufundishia ili kuondoa div 5 na badala yake inataka kuziongeza?

Hebu mfikirie huyu mtoto wa form one ambae utampandikiza chuki za kisiasa badala ya mbinu na utaalamu wakuendeleza taifa.

Fikirieni tena kama wazalendo wakweli..
 
Ni haki ya kila mtanzania mwenye umri isiyopungua miaka 18 kujiunga na chama chochote cha siasa bila kuingiliwa uhuru wake wa kujiunga na chama chochote
 
Inaonesha imekuumiza kwa
kiwango fulani. Hiyo organization itaundwa na wanafunzi wenye umri wa
zaidi ya miaka 18 kwani kikatiba wanahaki ya kupiga kula hata
kuchaguliwa wakipenda. Mimi naona ni wazo zuri la kuondeleza vipaji vya
uongozi. Aluta continuaaaaaaaaaaaaaa

mwanafunzi wa sekondari miaka 18 atakuwa memkwa, au alienda kunyonyesha kwanza, nadhani watoto hawaruhusiwi kwenye kumbi za starehe, wanaweza tumia ukumbi wa don bosco au msimbazi centre kama hakuna sehemu stahiki.
 
wazo la kijinga sana hili cdm kupeleka vurugu mashulen! Kwa tafsiri nyngne ni kwamba vurugu za mara kwa marj zitakuwa haziish mashulen kwa hamasa ya cdm. Siasa ziendelee vyuon na si kwenye shule za sekondar kuharb vichwa vya watoto ambao hawajajua ABC... ya future zao
 
Ww ndio umehc wazo la kijinga lakin uclazmishe kila mtu aamini ujinga wako na kimsingi hizo ni njia zakumfanya mwanafunz awe aware na siasa za nchi yake nasio lazma had chuon kwan ht huko migomo haijaruhusiwa.
 
Jaman jaribun kua waelewa au had mpelekwe darasan? Ushaambiwa hicho chama ni kwa waliofkisha miaka 18 sasa changanya akil km kwenu bado kuna mtoto wa umri huo yupo form one na km yupo haina maana hana haki ya kujiunga na chama chochote so as age inaruhusu na katiba imeweka waz hilo bhana na hizo div5 wameweka cdm had waondoe hilo waone viongoz wako huko huko ccm usilete cdm bhana.
 
Back
Top Bottom