Recent content by isack15

  1. I

    JamiiForums Tanzania Zitto: ACT Hatutaki Anasa, Usafiri Wetu Treni!

    Heh! Ama kweli hizi ni siasa. Mjini tumeficha Hummer na magari ya kifahari, kwa wananchi tunawadanganya sisi ni wajamaa tunatembelea treni. Mmh! mi yangu macho na hizi siasa za kisanii.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Olesendeka oyee!:israel::israel:
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Mwenyekiti CCM Taifa, Uwanja wa Majimaji Songea

    Hii picha mbona imechakachuliwa.... anayeongea na maiki anaonekana kuangalia mahali penye watu ambapo camera haikupachukua, ninachojua mimi huwezi ukawa unaongea na mtu aliye mbele yako halafu ukaconcentrate kuangalia pembeni. Hapo wanaCCM mmechemka. kajipangeni upya.
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kikao cha "hujuma" dhidi ya CHADEMA kilichofanyika Rose Garden, Dodoma

    Watashindana lakini hawatashinda.... CDM ndiyo chama cha ukombozi.
  5. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Huyo kwel mjanja, ni wasichana wachache wanaoweza kufanya hivyo kwa dunia ya leo. Ushauri wangu:Kama vp achana naye huyo hakufai, anahitaji wavumilivu wenzake. Naomba namba zake za simu tafadhali.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Utumishi na Uhamiaji ni cha mtoto

    Dah hyo kwel...... Brazuka imehamia Tanzania kwenye soko la ajira.
  7. I

    JamiiForums Tanzania John Heche apokelewa kama mfalme, afunika Itilima

    Kweli wameng'aa....
  8. I

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Aaaaaaaaaaaaagh...! hao nao wamezidi.
Back
Top Bottom