Recent content by Isack P

  1. I

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Dah nashukuru sana mkuu nilikuwa sijui ahsante sana
  2. I

    JamiiForums Tanzania HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Samahan wakuu anaejua kuangalia asilimia za mkopo heslb naomba anisaidie sizioni kwenye account yangu nimepewa2 meals&accommodation 2,099,500/= pa1 na tuition fee 278,000/=
  3. I

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    Kweli kabisa mkuu hapo umenena sifa tu jamaa kabarikiwa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    Sasa mkuu ulitaka awalazimishe au? na hyo haki anaitafuta kwa njia ipi kama sio hii acha ajaribu tuone kama itasaidia au lah!
  5. I

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi imfikie naibu Waziri wa elimu mh. William Ole Nash

    Sasa mkuu ulitaka awalazimishe au? na hyo haki anaitafuta kwa njia ipi kama sio hii
  6. I

    JamiiForums Tanzania Je kuna mkopo awamu ya tatu? Na inatoka lini?

    Dah tusubiri2 wakuu hii ndio Tanzania ye2
  7. I

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu kapata mikopo mara mbili batch1 & batch 2. Hii ni haki kweli

    Mkuu check vizuri yale majina yameunganishwa labda kwasababu ulisikia batch2 imetoka ukamcheck ukadhani kaappear mara2 sio kwel may be 2thibitishie wewe mwenyewe
  8. I

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Kama nkweli basi watakuw wachache sana mkuu
  9. I

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Upo right mkuu naona sasa hivi wametoa kwa wale multiple wa 1st round na kwa wale wasiokuw multiple wa 2nd round
  10. I

    JamiiForums Tanzania HESLB waachia majina 11,481 ya wanafunzi waliopata mkopo awamu ya pili 2017/18

    Kuna aliyechaguliw 2nd batch multiple vyuon kapata mkopo?
  11. I

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Samahan jaman mwenye selection za udom without multiple anisaidie make zote naon n multiple
  12. I

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mfumo wa udahili mwaka huu

    Selection sio kabisa mkuu af wanasema kuna kuomb tena awam ya pili cjajua ndo hko vp hii
  13. I

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Combination gan? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. I

    JamiiForums Tanzania Karibu: Chuo cha Maji Ubungo, Dar es Salaam

    Yap utapata Sent using Jamii Forums mobile app
  15. I

    JamiiForums Tanzania Wale wote wanaotaka kusoma engineering, Uliza swali lolote utapata majibu!

    Oooh vizur kaka uko poa but vp kat ya Mise na EE ipi nzuri zaidi??? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom