Kuhusu mfumo wa udahili mwaka huu

Kuhusu mfumo wa udahili mwaka huu

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,952
Reaction score
5,263
Bila shaka wale wote mliofanya application mwaka huu mnaona usumbufu uliopo tofauti na kipidni cha nyuma mpaka sasa ingekuwa ni wachache tu ambao hawajapata chuo na ni hao tu ambao wangekuwa wanapata ushauri juu ya namna ya kuomba awamu ya pili.

Cha kushangaza mpaka sasa vyuo vilivyotoa majina vimetoa picha ya namna uchaguzi ulivyofanyika kwa vyuo vyote! ingawa vigezo ni kuanzia point NNE na kuendelea, lakini ni kama vyuo vyote vimeng'ang'ania wale wenye div one. kwa matokeo ambayo yametolewa kama kuna wenye div 2 & 3 tayari wamepata machaguo waliyoyapendelea ni kwa kiwango kidogo sana.

Sasa kwa usumbufu huu sioni haja ya TCU kuendelea na mfumo huu ingawa ni ushauri Wa Rais lakini siyo kila kitu anachokisema Rais kiko perfect 100%
 
Hizi selection sio kabisa, lakin labda pengne kuna namna waliyotumia kuangalia sifa ya kumchagua applicant
 
Selection sio kabisa mkuu af wanasema kuna kuomb tena awam ya pili cjajua ndo hko vp hii
 
Wamechukua div one pekee na div two baadh....kama Kuna div three kachaguliwa ajee apaaa....
 
Hivi hizi za DUCE, UDSM NA MOROGORO MUSLIM UNIVERSITY, SAUTI, nao bado????
 
Back
Top Bottom