Habari zenu wapendwa,
Nahitaji ushauri hasa kwa wazoefu au wamiliki wa noah na hiece katika mkoa wa moshi na Arusha je ni root ipi nikiweka hoan au hice bas pesa itakuwa ya uhakika? Maana kuna root ambazo kwakweli ni hasara ila nimeona nitumie fursa hii yamkini nikapatana na watu wanaonufaika...
[emoji23] povu, kweli akili ndogo haiwez kuongoza akili kubwa kwahiy yeye kaona tareh ya video camera hajafikiria hiy 2008 hiyo mkuu wa wilaya alikuw wap?
habar wandugu, Naomba kuuliza je nikianza kuotesha kitinguu mwezi wa kumi na moja nitapata mazao vizur au nisubiri mwakan mwez march? Naomben ushaur ukanda wa Kilimanjaro same
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.