Recent content by isaacklawa01

  1. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka kurudi baada ya kukimbilia kwao

    Pole na changamoto ila never ever accept the woman who left you no matter what because she will do it again and blame you for forgiving her_ukimruhusu arudi ujue unampokea mwanamke ambae SIO YULE ALIYEKUWA MKE WAKO!!!! You have been told and you have been warned...
  2. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua Ukweli Mchungu Kuhusu Wanawake Kwenye Mahusiano

    [emoji16][emoji16]Naam hao ndio wanawake na saikolojia yao_ni viumbe wazuri kama you will learn to love them wisely and to lead them well and straight huku ukikommand kwao respect||submission||and loyalty__Know this and be at peace with yourself...
  3. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    [emoji419]Pole dada yangu kwa kudate na yahoo boy,ila ushauri wangu ni kuwa dalili zote mbaya(RED FLAGS) kwa huyo mwanaume wako umeziona labda nikutajie: He is lazy|Hakupendi|Hakuheshimu|Hawezi kuwa mume na baba bora kwa watoto wako LAKINI pia na wewe una shida kwa sababu umekubali kumlea na...
  4. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je unaweza kukubali kurudiana na uyo mwanamke

    Umofia kwenu wana JF...Pasaka njema kwenu,ndugu yangu usije narudia tena kumrudia mwanamke aliyekuacha ama uliyemuacha na akaendelea na maisha mengine,kwani hawi mwanamke yule yule uliyemfahamu hapo awali_hata hivyo huyo amerudi kwa sababu ameshindwa kupata replacement yako[emoji41]!!!!
  5. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Ndoa

    Teh teh teh...Hongera kwa bandiko zuri lakini taasisi ya ndoa ina kanuni na misingi yake ambayo inapaswa kufuatwa,lakini pia ndoa sio theory kama wengi wanavyoihubiri lakini iko more practical zaidi na ndio maana unapewa cheti mwanzoni hili ukitetee__All in all unamuhitaji zaidi Mungu kuliko...
  6. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Pole kwa changamoto hiyo,lakini huo ndio ukweli kuwa ukihisi mkeo anachepuka basi tambua anachepuka kweli...Na kama hivyo ndivyo basi huyo keshapoteza hisia na wewe(let her go,walk away and move on)...
  7. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Developing story; Mwanamke aliyekufa kwa kunywa sumu huku akirekodiwa na mumewe

    Mkuu Mshana Jr,ahsante kwa kutukumbusha kuwa mambo ya ndoa ni magumu sana_na inashauriwa mara nyingi kutoingilia hata kidogo lakini (a cheating woman when caught becomes very dangerous woman)[emoji41]...
  8. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Naam Taikoni wa Fasihi...Umenena vyema sana,tuendelee kuishi humo humo!!!!
  9. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Habari zenu wadau wa JF.. Kwanza dada pole na majanga ya kujitakia(kwa kuwa ulikuwa unajua unachokifanya) lakini pia FAHAMU kuwa gharama ya kucheat kwa mwanamke ni kubwa kuliko ukilinganisha na mwanaume__Dada ukweli ni kuwa you don't respect your husband||you have failed to be submissive to your...
  10. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Profile la Mwanamke anayehangaikia Ndoa

    Hongera Taikon kwa bandiko zuri lenye kujenga fikra za wanandoa watarajiwa...
  11. isaacklawa01

    JamiiForums Tanzania Njoo tukusaidie kuagiza mzigo kutoka China

    Je, umekuwa unahangaika kutafuta namna ya kuagiza vitu vyenye ubora toka china? Je,unaishi nje ya Mkoa wa Dar es salaam na ungependa mzigo wako uliogiza toka china ukifikie popote ulipo ndani ya mikoa yote tanzania? Hilo tatizo lako limepata ufumbuzi hebu njoo trade easy way company ltd ambapo...
  12. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Wakuu umoofia kwenu,kwanza wanawake huwa hawapendi(women don't love men) but wao huwa wanapenda vile unavofanya wajisikie na wako very very loyal to their feelings rather than your sacrifices_hivyo make sure you lead are well||unampenda kwani ndio wajibu wetu||unamtunza||na kikubwa unamwekea...
  13. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marafiki wa kweli ni wa utotoni

    Naam kaka Mshana huo ndio ukweli wa maisha...Hongera kwa andiko zuri lenye kutukumbusha yaliyopita kuwa ndio ya kweli na yenye umuhimu!!!!
  14. isaacklawa01

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa kutoa mizigo China kuja Moshi au Arusha

    Habari yako? Njoo DM nikuconnect na muhusika ambaye yupo china moja kwa moja ila wana maagent hapa DAR... KARIBU
  15. isaacklawa01

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dkt. Mwaka ajitafakari. Upendo ukiisha ni busara kukubali kuachia na maisha yaendelee

    Mkuu hilo ni kweli kabisa ndio maana inashauriwa usiingilie mambo ya ndoa na tena usije ukatoa ukashauri kwa watu walio kwenye ndoa waachane||ama waendelee,kwa sababu NI WAO WAWILI TU NDIO WANAOJUA KINACHOENDELEA KWENYE HIYO NDOA YAO!!!!Dr.Mwaka and so called his wife WANAJUA WANACHOTAKIWA...
Back
Top Bottom