Recent content by Isaac JK

  1. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Katiba huleta nidhamu ya wanasiasa kuitumia Dola

    Duniani, Majeshi huwa hayaanzishi machafuko, machafuko huanzishwa na wanasiasa. Jeshi hutekeleza tu amri za wanasiasa. Madhaifu ya utendaji wa Jeshi hutokana na mapungufu ya busara za viongozi wa kisiasa. Nifedheha kwa wanasiasa kulidhalilisha jeshi kwa kulitumia vibaya ila ni fedheha sana kwa...
  2. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa fomu za kugombea uenyekiti CHADEMA Taifa

    maamuzi ya mbowe ni tofauti na mitazamo ya watu wengi ngoja aongee mwenyewe ndo nitapima busara yake kama ninachokiamini ni kweli
  3. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Ndoa Kati ya UKAWA na Tume ya Warioba Kufungwa Rasmi kesho Agosti 12, Buguruni

    escaped milembe member
  4. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Tanzania Election 2010 Results as per NEC

    Matokeo ya uchaguzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Taifa Walio piga kura 8,626,283 – 42.84%[/FONT] Kura zilizoharibika – 227,889 – 2.64%[/FONT] Kura halali – 8,393,394 – 97.36% 1. APPT Maendeleo – 96,933 &#8211...
  5. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    majibu mazuri nataman ningepata zaidi sababu majibu haya yanatofautiana ila hoja ya msingi kwenye majibu haya ni kupotea kwa madaraka ya cccm sijui kama kuna jingine?
  6. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    naomba majibu sahihi kutoka kwa waungwana
  7. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Nini hofu ya CCM dhidi ta Serikali tatu na kwanini yakumbatia Serikali mbili?

    Wenye tamaa ya madaraka wameamua kutengeneza katiba inayowapendelea wao kama watawala na ni katiba iliyodharau maoni ya wananchi. Wananchi ambao ndiyo waliowaweka hao watawala madarakani. Watawala wameamini maoni ya wananchi hayana maana na ni ya kijinga ila maoni yao kama watawala kupita chama...
  8. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania BAJETI: Serikali kurejesha Kodi ya SimuKadi, walevi kukiona--waanze kujizoesha kunywa maji!

    sijawahi kuona mtu mwenye kichwa box kama huyu mwigulu nchemba unawaomba wananchi waipitishe hii bajet nadhani ni wajinga tu ndo watakao unga mkoni hii bajet
  9. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Kukaa kimya kwa Lowassa kujibu tuhuma ni werevu wa Lowassa au ni ujinga wa watanzania?

    mmmh majibu yenye akili
  10. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    siasa bana sasa jamaa alienda kufanya nn kwenye mkutano wa wapinzani wake hz syo siasa za kujitambua
  11. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwesigwa Baregu: Mzozo wa CHADEMA unatokana na wanachama.

    mkuu yupo sawa kabisa wanasema akili za kuambiwa changanya na zako kuna tatizo ndani ya chama ikumbukwe kuwa huyu aliwahi kuwa kampeni meneja wa dk slaa
  12. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

    divide and rule mmmh hoja ya kitoto
  13. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Picha Mapokezi ya Zitto Vs Lema

    kuna utofauti mkubwa kati ya mapokezi ya mjini na vijijini
  14. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Nape ataja mawaziri mzigo ktk serikali, aomba wapigwe chini

    asante nape kwa hili wakati mwingine huwa una akili timamu isiyo na woga
  15. Isaac JK

    JamiiForums Tanzania Maisha duni ya maisha katika Majimbo ya Songea Mjini na Peramiho, Rorya, Bunda, Tarime

    acha hawa wangoni wapate tabu maana waliamua kuwachagua hawa watu kwa tamaa ya kanga na tshirt ona jinsi uzao wao unavyopata tabu kidumu chama cha mapinduz huko kusini huku mkiendelea kutembea peku
Back
Top Bottom