Maisha duni ya maisha katika Majimbo ya Songea Mjini na Peramiho, Rorya, Bunda, Tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha duni ya maisha katika Majimbo ya Songea Mjini na Peramiho, Rorya, Bunda, Tarime

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lunyungu, Oct 1, 2012.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wajua nimeona kuna mtu kaanza na Mbowe hapa mimi nome toka ziarani katika Majimbo hayo siwezi kusema kitu ni aibu mno na watu wana maisha magumu ya kutisha na serikali Yao ya CCM inakuwa ya kodi na wako madhara kwani.

  Ni aibu ya kufa mtu si kawaida. Tukianza kusema habari za Majimbo basi CCM wanaongoza kuwatumia wananchi kuingia madarakani na wana mateso mengi sana wewe usitake kujua kabisa.

  Songea inatisha kwa kuwa nyuma lakini Nchimbi kapeta u NEC kwa kura kibao.
   
 2. z

  zulu12 Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HII NI AIBU SANA KWA HUYU ANAYEJIITA MBUNGE WA SONGEA MJINI NA YULE WA PERAMIHO ,MIMI NASHANGAA SANA KUONA MKOA HUU UMEPATA VIONGOZI AMBAO WAKO KARIBU NA SERIKARI NA BADO WANANCHI WANATESEKA,WEWE NDUGU YANGU ANGALIA JIMBO LA PERAMIHO MAENEO YOTE WATU WANAYO MATATIZO YA MAJI,BARABARA MBOVU,MBOLEA BEI JUU,BEI ZA MAZAO YAO YAPO CHINI HALAFU NCHIMBI NA JENISTA WANASEMA KHALI NZURI HII NI AIBU SANA.
  LAKINI JAMBO LA MSINGI WANA SONGEA TUUNGANE ILI MWAKA 2015 TUPATE WABUNG MAKINI AMBAO HAWATATOKANA NA CCM ,NA TUKIFANYA HIVYO NDIO UTAKUWA UKOMBOZI ,CHIMEEEEEEEEEE TUFUATE NYAO ZA WATU WA KATA ILE YA KILAGANO KWA KUWEKA DIWANI WA CDM MPAMBANAJI NA TUANZE NA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA,
  JAMANI HAKUNA FAIDA YA KUWA NA WABUNGE WASIOTUSAIDIA KAMA HAO .
  NIMEPITA KATA 10 ZA JIMBO LA PERAMIHO KHALI YA MAISHA YA WATU NI DUNI SANA,ongera kwa kuleta mada hii
   
 3. Echolima

  Echolima JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 3,168
  Likes Received: 530
  Trophy Points: 280
  Echolima pictures 057.jpg
  Hiyo shule chini ya Mbuyu iko NG`WANSHOMA huko Igunga jimbo ambalo lilikuwa linashikiliwa na Rostam Aziz huko ndiyo usiseme wananchi wamekuwa choka-mbaya wakati wakubwa wanajinufaisha tu na kuanza kusinzia tu Bungeni
  Echolima pictures 003.jpg
  Picture 024.jpg
  Picture 042.jpg
  Watu hawa wanajali matumbo yao tu na kibaya zaidi tuendako itakuwa mwenye nacho anazidi kuwa nacho na mwenye kidogo anapokonywa na anazidishiwa mwenye kingi hapo ndipo itakuwa hatari kubwa sana.
   
 4. kelao

  kelao JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2013
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 4,831
  Likes Received: 1,228
  Trophy Points: 280
  Jamani hapo kwenye mbuyu hawa wanafunzi si watapigwa na radi? Mungu apishe mbali!hivi Nchimbi na Jenister hawaoni huu umaskini wa kutisha unaowakabili wananchi wao?
   
 5. DZUDZUKU

  DZUDZUKU JF-Expert Member

  #5
  Dec 19, 2013
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 3,468
  Likes Received: 907
  Trophy Points: 280
  Acha ushabiki wewe, najua hali ya Songea ilivyo,ni kweli haiko vzuri, lakini unajua ukweli kuwa mikoa ya kusini, kanda ya kati (singida) na Kigoma ni mikoa ambayo iko nyuma kimaendeleo na co sababu ya wabunge wa ccm, mbona singida inamilikiwa na kina Lissu na bado haina kitu, vp kuhusu kigoma?
  Vp kuhusu Mtwara ambako kuna CUF?
  Mazingira na aina ya watu yanaendana na maendeleo ya eneo husika.
   
 6. D

  Dr Kingu Senior Member

  #6
  Dec 19, 2013
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwa ujumla mkoa wa ruvuma wote ni ovyo kabisa. Wananchi wanajitahidi pamoja na umaskini wao kilimo cha jembe la mkono lakini wanakatishwa tamaa na hii serikali iliyo madarakani. Mwaka juzi wananchi wameuziwa mbolea inasemekana ilichanganywa na chumvi mahindi mengi yalikauka. Mwaka jana mbolea feki. Halafu tetesi zinasema hiyo mbolea ni mali ya mohamed enterprises. Wananchi wengine walikopa mbolea wakivuna walipe, wameishia kuuza mifugo yao ili walipe madeni na kutumbukia kt umaskini zaidi. Halafu wabunge wa mkoa huu ni wale wa kulala na kuchafua hali ya hewa bungeni.
   
 7. N

  Ndikwega JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2013
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 4,499
  Likes Received: 1,917
  Trophy Points: 280
  LIZABONI Njoo huku maana unatumika vbaya hapo Lumumba na hali ya kwenu bombi ii nyumbi ii hali ni tete,ni abu kubwa kuendelea kushangilia ufisadi wa ccm huko songea ndugu zako wafa na njaa na huduma zngne za kijamii hamna. Au wewe ndiyo Nchimbi mwenyewe na ID fake?
   
 8. S

  SADICK R JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2013
  Joined: Jan 12, 2013
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkuu,naomba nitajie jimbo moja ambalo linaongozwa na mbunge wa cuf katika mkoa wa mtwara.
   
 9. kimbendengu

  kimbendengu JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2013
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1,069
  Trophy Points: 280
  mtwara cuf haipo.
   
 10. Isaac JK

  Isaac JK JF-Expert Member

  #10
  Dec 19, 2013
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  acha hawa wangoni wapate tabu maana waliamua kuwachagua hawa watu kwa tamaa ya kanga na tshirt ona jinsi uzao wao unavyopata tabu kidumu chama cha mapinduz huko kusini huku mkiendelea kutembea peku
   
 11. benignas

  benignas Member

  #11
  Dec 19, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hiii c sahihi cos kijijini kwetu wao wana kauli iayosema kikija chama kingine huku tutakichagua ila muhimu ni upinzani kutanuka zaidi sababu kama kwetu huku hakuna chama zaid ya ccm
   
 12. m

  mwitu JF-Expert Member

  #12
  Dec 19, 2013
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 857
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  niko hapa bombambili(songea) umeme hakuna umeshakatika.
   
 13. log10

  log10 JF-Expert Member

  #13
  Dec 19, 2013
  Joined: Jul 30, 2013
  Messages: 328
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  umeme ndo usiseme siku moja mwanga siku moja giza..kuna mwaka akati na soma olevo moja inayokaribiana na power station tulitolewa mkuku kuja kumshangilia mkuu wa nchi(baba riz) ambaye alikuja hapo power plant nakutoa ahad mara ooh tutaleta grid ya taifa mara ooh kuna machine mpya iko bandarini(toka ifungwe miaka zaid ya mitatu haijawai kuwaka) tutawaletea na shida ya umme itakua hadithi paka leo amna kilichobadilika..
  Maji sasa :mwaka huu ndo imevunja recodi mfano kwetu binafsi toka mwez wa tisa maji yanaonekana juzi.paka mvua zinanyesha still maji ni tatizo hiyo lizaboni ndo balaaa..maji ka kakakuona aisee
  kunamambo mengi sana ya ovyo hayo ni baadhi tu.
  aaah songea yetuuu
   
 14. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #14
  Dec 19, 2013
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM si baba yao wama mama yao... Wakiamua kuikataa CCM wanaweza! "Kataa CCM ya ufukara na umasikini chagua CDM kwa maisha bora yenye neema tele"...
   
 15. U

  Usoka.one JF-Expert Member

  #15
  Dec 19, 2013
  Joined: Nov 20, 2013
  Messages: 774
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 60
  Nyoka ni nyoka hata ukimchagua mtoto Madhara ni kama ya baba yake au mama!sumu utaiona
   
 16. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #16
  Dec 19, 2013
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,205
  Likes Received: 8,259
  Trophy Points: 280
  bambo Lizaboni uyili koki.hikai koni....lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Zuberi Magoha

  Zuberi Magoha JF-Expert Member

  #17
  Dec 19, 2013
  Joined: Nov 28, 2013
  Messages: 208
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lizaboni is not a sincere person na nadhani kwanza hatoki huko .Songea ni tatizo kubwa mno watanzania wana maisha magumu hadi mjini nyumba za udongo mtendaji sijui wa CCM ofisi yake iko kwenye genge lake .Go fiture out baada ya kuona .Nashangaa makelele online lakini watanzania wanaumia kwa shida .
   
 18. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #18
  Dec 19, 2013
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  No matokeo ya ubaguzi wa serikali unaofanywa na viongozi wakuu, ambao badala ya kugawa keki ndogo 'equitably', wakapendelea kanda watokazo....
  Inanikiumnusha kis a kimoja cha cleopa msuya akiwa PM alitumia ubavu wake kuhamisha mradi wa usambazaji umeme wilaya ya Ulanga na kuuhamishia kinyemela wilayani kwake huko Same......
   
 19. binjo

  binjo JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2016
  Joined: Feb 22, 2016
  Messages: 2,126
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Hivi bado haijabadilika,mlioko huko vip fursa za biashara na maisha kiujumla WAKUU.
   
 20. d

  dindilichuma JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2016
  Joined: Dec 19, 2015
  Messages: 462
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 80
  Sio mwenyeji sana huku Songea labda huenda Songea vijijini maana hakuna hata huo umeme na maji lla maji maeneo ya mji huku hayakatiki ni nadra sana maji kukatika, umeme vilevile haukatiki sana sijui labda nikikaa zaidi mana nina miezi mitano hapa
   
Loading...