Recent content by iron woman

  1. iron woman

    Online course za agriculture

    Habari, Naomba kujuzwa kama kuna chuo chochote Tanzania au nje kinachotoa course online zinazohusiana na kilimo na wanatoa certificate? Iwe ni short course au vinginevyo. Asante
  2. iron woman

    Sekondari binafsi zilizoko Njombe

    Habari, Wadau naomba mnisaidie shule za private kidato cha tano ya bweni, zinazopokea reseaters (wanaorudia mtihani kidato cha nne) iwe wilaya yoyote ya Njombe. Ambayo wako vizuri iwe ya mchanganyiko au wasichana tupu. Asante
  3. iron woman

    Online agricultural courses

    Habari, Naomba kujuzwa kama kuna chuo kinachotoa kozi za kilimo mtandaoni kwa hapa Tanzania au nchi za Afrika tafadhali. Asanteni.
  4. iron woman

    Msaada: Jiko la gesi limekaa muda mrefu

    Asante ila mafuta nayaweka kwa wapi naona kotekumefungwa
  5. iron woman

    Msaada: Jiko la gesi limekaa muda mrefu

    Habari zenu chefs, Naomba kujua nifanyaje jiko la gas la plates lilikaa muda bila kutumika. Sasa zile switch za kuwashia hazizunguki hivyo siwezi kuwasha. Naomba kujua nifanyaje ili lizunguke? Kwa yeyote mwenye utaalamu hapo. Asante.
  6. iron woman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Dodoma Mpwapwa nije Njombe idara Sekondari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. iron woman

    Nahitaji Pamba inayotumika kutengenezea mito

    Ooh asante Sana ndugu ngoja nijaribu kuuliza zaidi labda naweza bahatisha Sent using Jamii Forums mobile app
  8. iron woman

    Nahitaji Pamba inayotumika kutengenezea mito

    [emoji75][emoji75][emoji75]asante sana ndugu hii naipata wapi?? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. iron woman

    Nahitaji Pamba inayotumika kutengenezea mito

    Habari zenu wadau naomba kujuzwa ile kitu huwa wanaweka ndani ya mito inakuwa milaini( siyo sponge) ni nyeupe kama pamba lakini yenyewe nahisi inakuwa nylon inaitwaje na naweza kuipata wapi nataka nianze kutengeneza mito. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. iron woman

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo mpwapwa Dodoma nije Njombe au morogoro idara Sekondari
  11. iron woman

    Waziri Jaffo (TAMISEMI) aagiza kila Mkuu wa Mkoa kujenga viwanda vipya 100

    Hata 1000 inawezekana tu Kama in vile viwanda ninavyofikiria mimi
Back
Top Bottom