Recent content by irishy

  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanawake wakibongo hupenda wanaume wasumbufu?

    mbona waguna kijana ndivyo ilivyo
  2. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanawake wakibongo hupenda wanaume wasumbufu?

    mwambie huyo kisa wadada htuongei bac wanajiona wapo sahihi
  3. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi na MKE kwa mshahara wa 150000?

    nshukuru kama umenielewa
  4. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wanawake wakibongo hupenda wanaume wasumbufu?

    dis gud mada coz, hata wakaka ni walewLe ukimpenda na kumwonyesha kuwa unampenda anakuona zoba. hata mim nimeshatendwa kisa nilimwosha mkaka kuwa nampenda. tena wakaka huwa mnatabia ya kusema yule zoba tu mana mnakuwaga na foleni. alafu kaka zangu niwashaur wadada huwa wanatabia ya kumsoma...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kuishi na MKE kwa mshahara wa 150000?

    kaka ongeza kipato ndo uoe garama za maisha zinapanda kila cku utaishije. inamana mpaka upate hao watoto wawili utang'a macho na huo mshaara. ckufichi kaka ukioa utajuta ongeza kipato xawe. tafuta hata shuguli zingine ufanye ucngoje mshahara kumbuka mwanamke atahtaji kwenda salun. mi ni...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kifungo cha miaka mitano jela baada ya kumtupa mtoto wake chooni....

    dah huyo mama aongezewe miaka mitano haitoshi daha hzi roho za ukatil mbaya je na yeye angetupwa na wakaka mmezidi mcw mnakataa watoto wenu jaman co vzur mnackitika ila hata nyie wakatili ndo chanzo cha kufanya wadada watupe watoto
  7. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    huyo mwanamke kilaza na anatuabisha wadada jamani hebu tafuta mtu aongee naye au hata wew kwa undani zaid inawezekana ukilaza wake unasababu na mshahara unamlipa wa ni. wakat huyo ni mkeo jukumu lake kukusaidia co kukaa ka ----- mwanamke mvivu hafai
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hao Wamerudi...

    wenzenu wanaenda kutembea nyie mwachoka hapo xaxa chenga la macho kila cku kazi ukute anamakao mapya wameanzisha huko
  9. I

    JamiiForums Tanzania ipi njia sahihi ya mafanikio

    kama mikoani watu wanahitaji sana asali xo funguka changamsha kichwa mana unapoambiwa njia hi kuna cmba ni jukum lako kujua upite wap ili umkwepe . umeelewa
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rangi ya Kijani! inamaana gani katika Mapenzi?

    unahitaji kujua rang gani jiachie
  11. I

    JamiiForums Tanzania ... Ivi Kuna MWANAUME ambaye hajamgharamia MWANAMKE...??

    ila hata mwanamke anamgaramikia mwenzie na mapenzi ni garama kwa pande zote sema hapo huwa inakuwa ngumu kuelewa na pia tunagaramika pasipo kujielewa.
  12. I

    JamiiForums Tanzania Trust katika Mahusiano

    sure ndoa ni makaratic ila c inawezekana wenye upendo wa kwel wapo au
  13. I

    JamiiForums Tanzania Trust katika Mahusiano

    sure i real nid ur help ktk hli
  14. I

    JamiiForums Tanzania Kitanda cha wachumba

    hakuna kitu hapo kabla ya kulala watatafutana tena mkaka akiona paja au kifua ndo bac tena
  15. I

    JamiiForums Tanzania Muacheni mwenyeezi mungu aitwe hivyo hivyo mwenyeezi mungu samaki mkubwa kupita lori

    dah hyo kali kweli Mungu aitwe Mungu
Back
Top Bottom