Recent content by Irene V

  1. I

    Jina la mtoto...

    Wampe jina la Irene sabab ni zuri na wenye nalo wanatabia njema hasa huwa wanabahati, ama charity kama watakubaliana kuchukua jina la kwenye tamthilia sabab lipo wazi na maana yake, hata hope ni zuri kiasi, Duuu... ila waache utani hao wenye mtoto sabb wanatakiwa wakae chini wao kama wao tena...
  2. I

    Nimegoma....

    Pole sana ila Kugoma haisaidii. una vidhibitisho vya unayosema?
  3. I

    Kigugumizi katika mapenzi!

    beuty lies on the eyes of the beholder, we waweza una kigugumizi mwenzio akaona poozi, ilimradi mapenzi vurugu tupu.
  4. I

    Je, unaweza kumruhusu partner wako asome sms zako hivi?

    mi nafkiri heri kukaa ukijua sasa yeyote mwenzako anawezashika simu yako na kuifanyia chochote, na ujue kuwa ukikataa tu ndo unamuhamasisha kuisoma zaidi=ugomvi lazima unyanyuke kama utaamua kuwa kichwa ngumu. Be free.
  5. I

    Kucheza kimapenzi

    Duu michezo kweli muhimu ila naomba angalau ututajie aina ya michezo ili tukaiapply, sabab....
  6. I

    Hivi mdada unajisikiaje?

    Mpenzi wako analijua hilo kweli??? Duuu.. sasa si unapata sana shida vile wenye nywele ndefu ni wengi?
  7. I

    Ex-GF kajitangaza anao, napata kero vibaya

    Pole kaka kwa yaliyokusibu! Watu kukutumia sms, kukupigia simu ama vyovyote ni kwa kipindi hiki tu na kitapita hicho hakitalast forever, muhimu tulia kimya usiangaike kubisha. Fanya unachokiona sahihi bila kuhofia watu watasema nini, kama upo teyari kwenda kupima nenda bila kuhofia wakiniona...
  8. I

    Utafanyaje kwenye situation kama hii?

    kama hata hicho unamficha ni vingapi unavyomficha ambavyo ni muhimu ajue? ukweli ni mzuri sana, baadae akija hisi kuwa mdog wake alishakutaka wewe kumhakikishia hukumpa itakuwa ngum sana sabb tangia mwanzo ulifichaficha. Jitahidi kuwa muwazi sabab ukweli utakuweka huru.
  9. I

    Hataki kuongea! NIFANYEJE?

    Umenifurahisha kweli na hayo niliyoyawekea red. Sehemu nyingine ule msemo wa dawa ya moto ni moto unaapply lakini sehemu nyingine ni noma unaweza nuna ukashangaa ndo anafurahia wee kutoongea so utaanza kujiongelesha tena mwenyewe.
  10. I

    Utajuajekama amecheat!!

    Sasa itakuwaje kama hajado na akachelewa kumaliza kwa sabab hayupo kwenye mood wakati huo? Tatizo saa nyingine inawezekana kweli kachelewa sabab ktoka kudo na saa nyingine sabb ya kutokuwa kwenye mood. Mi nafkiri kama ana sabb ya kunicheat(mi nimemsababisha) sawa, ila kama hana sabab nafsi yake...
  11. I

    Ana Penzi La Moyoni??

    Mi nafkiri kuna ukweli mkubwa tu ndani yake.
  12. I

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Hawa watu wanakaribiana sana, Lutherani na katoliki kuna mambo mengi tu ambayo yapo sawa, ijapo katoliki wanaamini ndoa ikifungwa kanisani kwao ndo ndoa, na ikifungiwa lutherani huamini kuwa si ndoa. Hapo juu nilikuwa najaribu kukupa mwanga tu, ila muhimu ni kuliongelea suala la dini na mjue...
  13. I

    Kama hajatulia fanya hivi

    Mmmmhh.... Labda anampenda sana na hataki kushare na mtu yeyote ila sasa nina wasiwasi kama huyo mama anaweza kutimiza lengo lake na kukaba hadi penat, Kama hana habari kuna wabinti ambao wanataka wanaume waliooa tu, na ukimtongoza na kumwambia bado upo upo kwanza humpati ng'ooo... Hataki...
  14. I

    Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

    Wanasema mwanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe. Na hawa wanaume wa sasa ukisinzia kidogo tu unaweza kuta umefungwa goli tano aiseee. Kosa la kwanza kabisa angetakiwa kujihoji kuhusu kuletewa house maid na baba na kama angeamua kumpokea angetakiwa asicheze mbali vile unga robo. Kosa la...
  15. I

    Tofauti kati ya mpenzi mrefu na mfupi

    Inawezekana wa kwake ni kinyume na hiyo picha hapo so anatafuta idea kutoka kwa watu kuwa hiyo imekaa vipi. Mi nafikiri urefu ama ufupi hauna cha kufanya na moyo kupenda ama kutopenda, muhimu na la kwanza mtu ataanza kukuuliza ni kuwa are you happy with her/him kama Yes achana na hizo mambo...
Back
Top Bottom