Recent content by Irene marwa

  1. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi saluni

    Mda wa kuondoka inategemeana na wateja hiyo siku hali ikoje ila exactly time ni saa mbili ndo nafunga saluni
  2. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi saluni

    [emoji106]
  3. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi saluni

    IRENE HAIR BEUTY SALON NAFASI YA KAZI location:kigamboni,ferry [emoji419]Anahitajika dada au kaka anayejua kusuka vizuri mitindo yote [emoji139]‍♀️ [emoji419]awe anajituma mchapakazi na kuwahi kazini saa 2 [emoji419]mshahara ni 150,000 kwa mwezi [emoji419]Mawasiliano;0789041461 KARIBUNI...
  4. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za housekeeping, front office n.k

    Amna nilikua na ngoma pia
  5. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za housekeeping, front office n.k

    Hahaha Ndiyo
  6. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za housekeeping, front office n.k

    Kivipi
  7. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za housekeeping, front office n.k

    Jamani mimi naitwa Irene nina shida, Natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze...
  8. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Duuh
  9. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Ndiyo
  10. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Wanaruhusu
  11. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Mama ake na mwanaume kakubali atanisaidia kulea nikiwa shuleni ndo maan sikutaka kuwaambia wazaz wangu kwasasa
  12. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Shida sio uniform maana naweza tu kuongea na uongozi nikashona gauni ila shida ni kubwa n kuhusu wazazi nafikiria nisiwaambie kitu mpka ntakapohitimu
  13. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Nishaurini mdogo wenu nipo njia panda

    Me ni yule niliyeuliza kuhusu kuwa na mimba ni kweli nilipima na nikakuta ni mjamzito wa mwezi mmoja ila shida me nipo mbali na wazazi na kwa sasa nipo chuo. Yaani mpka mwakani mwezi wa sita ndo namaliza na hapo chuon huwa tunavaa uniform nashindwa hata kuelewa nifanye nini lakini kuhusu baba...
  14. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Msaada je ni mimba changa au ni dalili za kuingia period?

    Mmh jmn yaan me kutoa mimba siwez kabisa ata kama atakua na madhara yey pia ni mtoto tu ana haki za kuishi kama wew
  15. Irene marwa

    JamiiForums Tanzania Msaada je ni mimba changa au ni dalili za kuingia period?

    Sawa nashukuru kwa ushaur
Back
Top Bottom