Msaada je ni mimba changa au ni dalili za kuingia period?

Irene marwa

Member
Jul 25, 2020
35
125
Msaada, maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana, ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau nikameza moja badala ya mbili.

Sasa nilisex tareh 4 mwezi huu ambayo ilikua ni siku ya hatari sasa hivi ilitakiwa niingie period tarehe 18 mwezi huu lakin mpaka leo sijaingia, ila nilienda kupima hospitalini siku tano baada ya kusex nikaambiwa sina mimba je hii itakuwa ni mimba ilijificha au ni dalili za period.
 

proskaeur

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
1,435
2,000
Msaada,maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana,ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau nikameza moja badala ya mbili,sasa nilisex tareh 4 mwezi huu ambayo ilikua ni siku ya hatari sasa hivi ilitakiwa niingie period tarehe 18 mwezi huu lakin mpaka leo sijaingia,ila nilienda kupima hospitalini siku tano baada ya kusex nikaambiwa sina mimba je hii itakuwa ni mimba ilijificha au ni dalili za period
Siku 5 hauwezi ku detect mimba kwa vipimo vinavyotumika hospitali ambayo ni UP ndio maana hakukuonekana kitu,

Cha kufanya nenda kanunue kipimo (UPT) duka la dawa ujipime maana tangu umesex ni wiki 2(siku 14) zimeisha ambayo ndio muda muafaka wa UPT kusoma kama kuna mimba ama laah.
 

Irene marwa

Member
Jul 25, 2020
35
125
Siku 5 hauwezi ku detect mimba kwa vipimo vinavyotumika hospitali ambayo ni UP ndio maana hakukuonekana kitu,

Cha kufanya nenda kanunue kipimo (UPT) duka la dawa ujipime maana tangu umesex ni wiki 2(siku 14) zimeisha ambayo ndio muda muafaka wa UPT kusoma kama kuna mimba ama laah.

Sawa nashukuru kwa ushaur
 

proskaeur

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
1,435
2,000
Namshauri atoe Maana tayari amemeza Dawa moja endapo akiacha anaweza kuja kujifungua mtoto mwenye mandhara kutokana na Dawa aliyo meza.
HAPANA, UPT haina madhara yoyote kwa mtoto mkuu, yenyewe inazuia tu mimba isitungwe, but haiingilii kabisa mimba ambayo imeshatungwa tayari
 
Jun 27, 2017
24
45
Mmh jamani yaani me kutoa mimba siwezi kabisa ata kama atakua na madhara yey pia ni mtoto tu ana haki za kuishi kama wew
Da! Mungu anajua walio wake ila kama ulimeza P2 moja huyo mtoto asitungwe bado huyo mtt utaonekana laana kwako bibi ba babu huku nyumbani umewambia lakini kabla hujaja apa jamii forum?
 

senegro orgenes

Senior Member
Apr 26, 2017
185
250
Namshauri atoe Maana tayari amemeza Dawa moja endapo akiacha anaweza kuja kujifungua mtoto mwenye mandhara kutokana na Dawa aliyo meza.
Kuna mdada alimeza iyo iyo p2!! Kamzaa mtoto macho yana fumba fumba na kucheza cheza muda wote!?! Ana mwaka na nusu sasa!!
 

orturoo

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
1,638
2,000
Msaada, maana hata sielewi maana matiti yangu yameongezeka na yanauma pia mapigo yangu ya moyo yanaenda kasi sana, ila nilisex siku ya hatari lakini kabla ya masaa 72 nilimeza p2 ila nilijisahau nikameza moja badala ya mbili..
New member,ulipokuwa unaenda kusex ungeomba ushauri pia,utakutana na baba yako uku anasoma comment,
 

gilldenu

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
2,765
2,000
Kanunue pregnancy test buku tu mpendwa pia siku nyingine kama uko danger days kama hutaki mimba mwambie mwanaume avae condom..au usi sex mpka siku za hatar zipite....p2 sio ujanja uko mbeleni uzazi utaja sumbua kushika mimba so be smart....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom