Irene marwa
Member
- Jul 25, 2020
- 35
- 36
Jamani mimi naitwa Irene nina shida,
Natafuta kazi nina uzoefu na mambo ya service, housekeeping, front office pia hata kama kuna kazi yoyote nje ya hizo nipo tayari kufanya ila iwe tu maadili hata kama n kuuza duka maana sahivi nipo tu likizo na nilikua nategemea kazi ya hoteli ili niweze kulipia ada na kodi.
Ila tumesimamishwa hivyo hali imekuwa ngumu naombeni msaada wenu angalau niweze kupata ada ya muhula huu ujao.