Natumia Nokia lumia 710 lakini tatizo nililonalo ni kuwa nikitaka kuangalia salio haionyesha inakuja neno 'system terminated'.Pia hata nikitaka kujiunga na vifurushi mfano vya airtel siwezi kujiunga moja kwa moja kwenye simu nikipiga ile namba ya kujiunga linakuja tena neno hilo hilo 'system...
Habari ya kazi wakuu. Kuna ndugu yangu anataka kununua gari kwenye hii kampuni ya Everycar.jp. Kwa anaeijua au ameshawahi kuitumia hii kampuni ipo vipi kwenye uhakika wa uagizaji?
Nasubiri ushauri wenu.
Daaah hata mimi muda huu wamenifanyia hivyo hivyo.nilikuwa naongeza vocha kwa ajili ya kujiunga na
kifurushi ili dakika na mb zilizokuwepo niziongezee nikatumia msg ombi langu linashughulikiwa mpaka muda umekwisha wameshalamba dakika zao na mb zao. KWELI HAWA JAMAA WA VODA NI SHIDAAAAAAAAA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.