Recent content by IQ_son_daughter

  1. I

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Mbona una maneno makali sana bosi. Ilo ni tatizo la kibinadamu hata wewe linaweza likakutokea. Ni suala la kumrekebisha tu na sio kutumia maneno makali kama hayo.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Mkuu, hata gari unaweza ukajifunza mwenyewe na ukaweza ila baadhi ya sheria za barabarani hutoweza kuzijua hadi uende VETA au NIT. Kwa maoni yangu kama atapata muda aende kwa hao jamaa akafundishwe ili apate mwanga baadae vingine atakazia kwenye you tube.
  3. I

    JamiiForums Tanzania Karibu kupata Research Consultation

    Masters ipi
  4. I

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inatatizo la charging system

    Nipo Dsm bosi
  5. I

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inatatizo la charging system

    Nipo Dsm bosi
  6. I

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu inatatizo la charging system

    Laptop yangu inatatizo la charging system haipokei chaji, nimepeleka kwa fundi anarekebisha ila baada ya muda tatizo linarejea tena. Naomba msaada wenu kama kunafundi mzuri anisaidie. Asante
  7. I

    JamiiForums Tanzania Business partners for Black soldiers fly production

    Nimesema m5 kwa sababu kuna vitu tayari ninavyo. Naishi DSM ila mradi utafanyika yombo mpera.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Business partners for Black soldiers fly production

    Samahani kwa kutoorodhesha hili. Mradi utakuwa Dar es Salaam. Kwa kuanza itabidi tuingie gharama ya vifaa vya uzalishaji ambavyo havitagharimu milioni 5.
  9. I

    JamiiForums Tanzania Business partners for Black soldiers fly production

    Nategemea na nipo kwenye process ya kuzalisha Black soldiers fly ambao watatumika kama chakula cha mifugo ikiwemo kuku, nguruwe, samaki na vinginevyo. Pia mabaki yake yanayopatikana yatatumika kama mbolea. Hivyo ninahitaji watu walio serious nitakaoshirikiana nao katika katika kufanikisha hili.
  10. I

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Nahitaji dishi la Azam mwenye nalo tuwasiliane
  11. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina Shahada ya pili ya Takwimu

    Habari wana jamvi. Mimi ni muhitimu wa Shahada ya pili katika Takwimu, natafuta kazi sehemu yoyote Tanzania.
Back
Top Bottom