Recent content by IPTL

  1. I

    Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

    wewe acha kusema uongo Sub Contractors wamegoma kama unabisha njoo site na mimi nipo site hakuna magari ya kuwapeleka Wafanyakazi kazini na viongozi wa Kituruki wapo kikao sasa hivi.
  2. I

    Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

    Msikilize JPM alivyotoa maagizo ambayo Waturuki hawakuyatekeleza. Haya Waturuki wanatuchezea sana sisi Watanzania wanatuona wapole, sasa ngoja waonje joto ya WaTZ. Hivi kweli sisi tungefanya hivi nchini kwao wangekubali unatumia vifaa vya watu miezi yote hiyo karibu mwaka hulipi hata senti.
  3. I

    Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

    Rais alishatoa maagizo hela hizo zilipwe lakini hawa Waturuki wahuni tu. Leo acha washikishwe adabu kazi zimesimama hakuna kinachoendelea mashine zimesimama, ma tipper, mabasi na pick ups zote zimesimama. hakuna kinachoendelea leo. madereva na waendesha mashine wamekaa.
  4. I

    Tetesi: Hali si shwari SGR muda huu. Wafanyakazi wanadaiwa kuanzisha mgomo

    Hali si shwari katika mradi wa SGR unaojengwa na Mkandarasi Yapi Merkez kutoka Uturuki kutokana na mgomo ulioanza leo wa Wakandarasi wa Kitanzania kusimamisha Construction equipments, Tipper, mabasi ya kubeba Wafanyakazi na Pick-Ups kwa ajili ya kubeba Ma enginia kuwapeleka site. Habari za...
  5. I

    Mkandarasi wa ujenzi wa SGR Tanzania, Yapi Merkezi adaiwa kuwa na hali ngumu kiuchumi

    Hali ya Mkandarasi YAPI MERKEZ ya Uturuki ambaye anajenga reli ya SGR si shwari hata kidogo kwa maana ameishiwa fedha na kushindwa kuwalipa Wazabuni wanaotoa huduma katika mradi huo. Wazabuni ni pamoja na wanatoa ya magari, Mashine na vifaa mbalimbali ya kujengea reli hiyo. Hadi sasa imefikia...
  6. I

    Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    YAPI MERKEZi lini mnawalipa Sub Contractors wenu wanaotoa huduma kwenu kama kuleta Cranes, Escavators, tippers, pick ups nk ambao wanawadai fedha nyingi sana huku yule Mturuki FATIH BAL akiwatukana Watanzania wenye kuleta vifaa hivyo utadhani nchi ya baba yake.
  7. I

    Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    Bwashee ni kwamba hawa YAPI MERKEZ hawakuja na vitendea kazi vyote na hivyoo kuna Watanzania wamepeleka Mashine kama vile bull dozer, cranes, escavator, Tipper, Pick ups, Land Cruisers ambazo YAPI Merkez wanatumia kwa ajili ya kazi zao hivyo wanatakiwa angalau kila mwezi au baada ya miezi miwili...
  8. I

    Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    Serikali itupie jicho kwa hao YAPI MERKEZ kwani kuna kazi nyingine wanaleta Waturuki wenzao katika kazi ambazo zinaweza kufanywa na watanzania ili na sisi Watanzania tupate fursa na ajira katika mradi huo. Serikali na TRC angalieni hilo wa kina.
  9. I

    Maendeleo ya ujenzi wa stesheni za reli ya kisasa - SGR

    Hao YAPI MERKEZ wanaojenga reli wanadaiwa fedha chungu nzima hawajalipa Sub Contractors wao wanaotoa huduma kama vile magari, machine nk wanazokodisha na ukidai wana lugha chafu sana kwa Sub Contractors wa Kitanzania wanaotoa huduma hapo hasa kuna Mturuki mmoja yupo pale Ilala utadhani yeye ni...
  10. I

    Wakili Albert Msando na Zitto Kabwe wajibizana kuhusu mafao ya wastaafu kukatwa kodi

    Alberto Msando haya mambo yana mwisho usitufanye Watanzania hatuna akili wewe ni mchumia tumbo - jaza tumbo lako unenepe!!!
  11. I

    Polisi Tanzania wadaiwa kumtendea ukatili kijana Kanani Samwel kwa kukosoa mchakato wa Uchaguzi

    E Mungu baba yetu tuhukumie wale wote wenye kutesa wenzao na wenye roho mbaya kwa kujali maisha yao huku wenzao wakiwatesa
  12. I

    Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    dawa ni Scotland Yard au FBI tu hapa!!
  13. I

    Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Waje FBI au Scotland Yard waumwage ukweli jamani ya nini ubishi!!!
Back
Top Bottom